Naanzaje?

Glas

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
1,243
Reaction score
1,186
Niko Ndani ya basi from Moro to Dar...pembeni Mtoto mkaaali...shida naanzaje? Wadau nipeni procedures!
 
Anza kama unaongea na sim ukizungumzia issue yenye mkwanja mrefu au uoneshe Kama vile unafanya kazi nzuri au Una gari .....
 
1 Habari yako
2 Hii ndio mara yako ya kwanza Dar?
3 Utafika wapi ningependelea tuonane tukifika dar
4 Sio vibaya ukanipatia namba yako tukajuana zaidi
5 Dar kuna watoto wazuri lakini Moro kuna malaika
6 Nimeoteshwa leo nikisafiri nitakaa karibu na waridi na nitapata kunukia. Ndoto yangu imetabirika
7 Usione natetemeka mwanamme wa mikoani kutongoza sijui. hahaha
 
Am serious people....plz help me
 
hahahahah umenikumbusha safari yangu na abood!nimekaa namkaka seat moja!jaman kaka alikua hatulii mara akohoe mara akae vzr, anyanyuuke,akikaa tena annakugusa upaja!yaan alikua vurugu tupu!tunafika maili moja eti akanisalimia dada vip!hhaaaaaaaaa nikamjib poa...aise wanaume mna kazi
 
Watext marafiki zako watatu wawe wanakupigia kila mara kisha jifanye kuwapa maelekezo kama vile wewe ndio boss wao,

Mfano
Eee hallow mwambie secretary akupe funguo za gari ufuate mzigo kariakoo,

Simu ya pili ... hellow john simamia vizuri hao mafundi nitakuja kukagua hilo jengo siku ya jumatatu,

Nunua gazeti la mwananchi jifanye uko busy .. then baadae baadae, msemeshe chochote then omba namba akikupa mtandike elfu ,30 ya vocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…