Naanzaje?

Naanzaje?

Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
I hope ulimpa no
 
kausha ...... kama amekukubali ataongea mwenyewe coming from ma experience
 
Watext marafiki zako watatu wawe wanakupigia kila mara kisha jifanye kuwapa maelekezo kama vile wewe ndio boss wao,

Mfano
Eee hallow mwambie secretary akupe funguo za gari ufuate mzigo kariakoo,

Simu ya pili ... hellow john simamia vizuri hao mafundi nitakuja kukagua hilo jengo siku ya jumatatu,

Nunua gazeti la mwananchi jifanye uko busy .. then baadae baadae, msemeshe chochote then omba namba akikupa mtandike elfu ,30 ya vocha.
asante shikamooo
 
Nunua Daily news concetrate na story za ngeli hata kama inapiga chenga,

Halafu mtext mwanao akupe mchongo wa kufanya kazi UN mwambie wizara ya Madini wanazingua sana unataka upige chini kazi,

Mwambie umetoka kufanya interview NGO moja kutoka brazil ambayo base yake hapa bongo ipo morogoro then agana nae kata simu

Angalizo usiwe na tecno au huawei.
hahaaaaa aiseee
 
Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
hii qali ..mlimalizana vipi sasa ..wakati ulikuwa na mdingi ..
daahh hizo za kughairi safari zimeshanikuta mnooo aiseee
 
Nashukuru kwa ushauri....
Mrejesho ni kwamba Mtoto kajaa mazima....niko nasubiria cha tatu muda huu

Sent from my SM-J500FN using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom