MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee sasa huyo ndo umpe mzigo utaula kimawenge sana au atasingizia ana dose
haaaaahaaaaahaa umeanza na ww lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee sasa huyo ndo umpe mzigo utaula kimawenge sana au atasingizia ana dose
[emoji23] [emoji23] [emoji23]haaaaahaaaaahaa umeanza na ww lol
I hope ulimpa noHahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
uh didnt get it .....but ill try it a day.....Nikusaidie mdogo wangu? Anza na introduction.
Mwambie my name= Cement+Water+ Gravel +Sand.
Thank me later.
😀😀
asante shikamoooWatext marafiki zako watatu wawe wanakupigia kila mara kisha jifanye kuwapa maelekezo kama vile wewe ndio boss wao,
Mfano
Eee hallow mwambie secretary akupe funguo za gari ufuate mzigo kariakoo,
Simu ya pili ... hellow john simamia vizuri hao mafundi nitakuja kukagua hilo jengo siku ya jumatatu,
Nunua gazeti la mwananchi jifanye uko busy .. then baadae baadae, msemeshe chochote then omba namba akikupa mtandike elfu ,30 ya vocha.
hahaaaaa aiseeeNunua Daily news concetrate na story za ngeli hata kama inapiga chenga,
Halafu mtext mwanao akupe mchongo wa kufanya kazi UN mwambie wizara ya Madini wanazingua sana unataka upige chini kazi,
Mwambie umetoka kufanya interview NGO moja kutoka brazil ambayo base yake hapa bongo ipo morogoro then agana nae kata simu
Angalizo usiwe na tecno au huawei.
hii qali ..mlimalizana vipi sasa ..wakati ulikuwa na mdingi ..Hahahaaa wanaume mna kazi kweli kweli, ndo maana wengine wanatokaga majasho mengi hata kama ni baridi, mmoja alishuka kituo sio chake akanambia nimeshuka kwa ajili yako, nilicheka sana halafu tulikuwa na baba angu
unakosa mema ya nchi aiseeee hahaaSijawahi fanya ujinga uo hahahahahah elfu 30 kah
Hahaaaaaaaa daahh aiseeJamba tu kwa sauti mazungumzo yataanza automatically
Mwambie my name is mdomo zegeuh didnt get it .....but ill try it a day.....
[emoji23] si ataonekana chiziAnza kwa kulia kilio kikali mkuu
Hahah ye alie tu hivyo hivyo mkuu afu alete feedback hapa.[emoji23] si ataonekana chizi
HahahaNiko Ndani ya basi from Moro to Dar...pembeni Mtoto mkaaali...shida naanzaje? Wadau nipeni procedures!
hahaha lolz ...... i wonder if the girl did know the joke she would just bust out laughin and im like hahaha type of dumb uknowing...laugh....hahahaMwambie my name is mdomo zege