Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Mwanadamu tangu kuumbwa kwake Kwa kudhamiria au bahati mbaya ameshaharibu viumbe wengi amabao Kwa sasa hawapo kabisa(extinct)
Mifano ipo mingi,nikihamua kuiandika hapa nitaijaza JamiiForums nzima
Karma ya kuangamiza viumbe wengine sasa imemugeukia binadamu mwenyewe
Mwanamke mweusi siku hizi kumuona ni nadra sana,Unaweza shinda siku nzima kati ya wanawake mia moja,mweusi ukamuona mmoja au wawili
Tunaenda wapi!!?
Hivi ni kweli huko wodini watoto kike wanaozaliwa wote ni wa maji ya kunde na weupe!?
Usasa wa kutumia losheni zinazomweupisha mwanamke zinatokomeza kiumbe hiki adimu Kwa sasa kama faru kule polini
Naomba maoni na ushauri,nifanyeje Ili niweze kufanikisha adhima yangu!!?
NB:
Popote utakapomuona mwanamke mweusi usiache kumpongeza na kumpa moyo