Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje?

Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa kama msaada lakini sasa hivi NHIF mmeondoa dawa nyingi na huko ya watoto mmeondoa kila kitu. Bima ya Afya kwa wote ni biashara. Hatutaki.
 
Back
Top Bottom