BraysonJohn
New Member
- Aug 22, 2016
- 1
- 0
Juzi kati apa nilipata wazo zuri sana kwenye hii industry ya malipo ya mtandaoni. Na ningependa kujua ni sheria gani natakiwa kupitia au natakiwa niwe na kitu gani ili niweze kuanzisha mfumo huo. Najua hii nchi ina bureaucracy na changamoto na hizo pia ningependa kuzijua.