Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhapa ndo kufanya nini??Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
tutafufua ka uziHakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Umetumia msahafu au bibliaNahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Mpe heshima mama yako kupavu zakoHakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Ndugu ukitaka Na Kupa ata namba yangu tutafutana Na Kupa Laki Moja ushike mikononi mwako yanga akitolewa Na waarabu pesa Izo sitokudai yanga akiwatoa waarabu unanirudishia pesa zanguHuwezi kumfunga Muarabu tena Algiers . Ni
Impossible possible . Nadra. Tena Fainali
Kumbuka hawa wapo 8 kwenye ligi yao . Nyie ndio mmeogoza . Hapa pia ni tofauti ya Ubora wa Ligi.
Muulize Assec , Assec ni bora zaidi ya Yanga .
Hawa hata mpira wao ukitizama , ni professionnel .kule mtakula chuma sio chini ya 2
Simba tutaendelea kushangilia hata mwisho.Kombe bado watu wakae kwa kutulia anayeshangilia mwisho ndiye anashangilia vizuri
Huaminiki wewe.Kila utabiri kama timu yako.Ni utopolo tu.😂😂😂😂Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Umeona mbali kombe linakujaNahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho