Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Ndugu ukitaka Na Kupa ata namba yangu tutafutana Na Kupa Laki Moja ushike mikononi mwako yanga akitolewa Na waarabu pesa Izo sitokudai yanga akiwatoa waarabu unanirudishia pesa zangu
Njoo PM tuwekeane Dau Yanga hawezi kupindua matokeo Algeria.

Ninaweza Dau la Laki 2 na wewe weka Dau la Laki 2.

Njoo PM
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Kuwatoa? Umevurugwa wewe, habari za kutoana zilishakwisha
 
Huwezi kumfunga Muarabu tena Algiers . Ni
Impossible possible . Nadra. Tena Fainali

Kumbuka hawa wapo 8 kwenye ligi yao . Nyie ndio mmeogoza . Hapa pia ni tofauti ya Ubora wa Ligi.

Muulize Assec , Assec ni bora zaidi ya Yanga .

Hawa hata mpira wao ukitizama , ni professionnel .kule mtakula chuma sio chini ya 2
ProfessionEl?
 
Mmehama tena kwenye Ile kauli ya kwa Mkapa hawatoki, tunawapiga 3-0 au 3-1? Hiyo ndo imetoka.

Kawahenyesha USM Algiers, mngekuwa nyie kule Champions League yule Wydad Casablanca mngemuweza? Hata kwenye matuta msingefika.
 
Itoshe kusema mwendo mmeumaliza...mwarabu mbele ya kombe tena kwake huwa ni monster haswaa!!mtachukua chuma zingne 2+
 
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Mkuu, jitahidi kuficha upumbavu wako, acha ushabiki wa kipuuzi, muheshimu mama yako.

Vv
 
Mpumbavu wewe una laana ya mama yako
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
.
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Uko Kama mimi Imani yangu Hawa tunawafunga kwao majirani zetu mwakarobo hawataamini kitakachotokea Imani yangu ni kubwa mfano hakuna
 
Fainali imeishia hapa Kule mkatafute mashindi wa pili.
 
Acha kusumbua mamlaka za mbingu ,we apia kwa haki ya marehem bibi yako mzaa baba yako
 
Back
Top Bottom