Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Njoo PM tuwekeane Dau Yanga hawezi kupindua matokeo Algeria.Ndugu ukitaka Na Kupa ata namba yangu tutafutana Na Kupa Laki Moja ushike mikononi mwako yanga akitolewa Na waarabu pesa Izo sitokudai yanga akiwatoa waarabu unanirudishia pesa zangu
Ninaweza Dau la Laki 2 na wewe weka Dau la Laki 2.
Njoo PM