Naapa Haki ya Mungu Yanga anaenda kuwatoa hawa Waarabu nyumbani kwao

Kombe bado watu wakae kwa kutulia anayeshangilia mwisho ndiye anashangilia vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskiniii unatia huruma mwenyeweee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika ya Mungu Tena Na rudia hakika ya Mungu Mama yangu ageuke kuwa mke Wangu yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao Na ukitaka tunaweza hata kubet
Mnaweza kushinda ndio ila suala la mama yako ni tamaa zako tu. Viapo gani hivyo?
 
Sasa simba anakujajeee hapa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nahapa mbele ya Mungu hakika ivi yanga anaenda kuwatoa Hawa waarabu nyumbani kwao
Najua wengi mtanicheka Na kunikejeli lakini najua nikisemacho
Hakika Waarabu hawa ni wepesi tu , kwa macho yangu goli lao la pili lilikuwa offside kwa yule mtoa krosi , sijui ni kwanini watu wa VAR walinyamaza
 
Memosas walienda na gear ya kujilipua kama nmnavyoamini kumbe Usma ana mtego wa kutegua vilipuzi....aliishia kula virungu vya kichwa tu
 
Wehu unaanza hivi hivi! Unaanza kwanza kuimba imba baadae yaanza makopo
 
Memosas walienda na gear ya kujilipua kama nmnavyoamini kumbe Usma ana mtego wa kutegua vilipuzi....aliishia kula virungu vya kichwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
inawezekana maana jana hakuna mpira wa maajabu yeyote umechezeka... !
 
Wacha kumshirikisha MUNGU kwenye upuuzi,,

VIONGOZI wanaapishwa na Quran na biblia lakini bado wanaiba Mali za umma.

.usijiapize upuuzi..
 
Wewe ndiyo mganga wa Yanga uliwaaminisha watashinda leo imekua kinyume sasa unawapa matumaini tena mbaya zaidi umehalifu amri mbili ya kutaja bure jina la Mungu na kutoheshimu wazazi hiyo timu yako itatolewa kwa aibu ili ujue Mungu ni mkuu
Sijamuona tena huyu ndugu, naamini ameshatubia makosa yake.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…