Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

Naonaga wakati wa kutoka ndio hata hawaangaliii vizuri, nilihisi hata ukiover stay watakugongea tu exit yani wako busy mno...
Nchi nyingi kutoka siyo issue, nina Family members Marekani passport zao wakitoka huwa hawagongewi hata muhuri wa exit.
 
South Africa ya siku hizi ina watu wema hivyo? Yani umkute mtu analia uende kumuuliza analia nini unamsemesha kizulu then unagunduwa ni Mtanzania unampeleka kwako.

Konda tafadhali nishushe hapahapa nimefika, mwendo wa dereva ni hatarishi.
Hapo ndio niliposhangaa
 
Naonaga wakati wa kutoka ndio hata hawaangaliii vizuri, nilihisi hata ukiover stay watakugongea tu exit yani wako busy mno...
Ukizidisha siku zinasoma kwenye computer hawawezi kuwa busy hivyo lazima wakupige siku za kutosha kutoingia kwao..
 
Na je vipi kuhusu wewe kusaidiwa huogopi?
Napenda kuwa huru na maisha yangu, bila kupangiwa masharti ya maisha.
Misaada mingi ya watu huwa imejaa masharti na manyanyaso lukuki.

Nimekataa dili kibao tu na nafasi kubwa ambazo ni Life Changing...
And truth be told, I have never regretted my decisions......
 
Ukizidisha siku zinasoma kwenye computer hawawezi kuwa busy hivyo lazima wakupige siku za kutosha kutoingia kwao..
Huwa naona kama wao hawafatilii sana
Tofauti na Europe mtu anakagua taratiiibu yani kama vile hamna foleni ya watu inayosubiria huduma hiyo hiyo!!!
 
Nasema tena kkoo wapopo wapo kibao wanapiga pesa..wao mizigo yao wanauzia store wachache wana maduka...
 
South Africa ya siku hizi ina watu wema hivyo? Yani umkute mtu analia uende kumuuliza analia nini unamsemesha kizulu then unagunduwa ni Mtanzania unampeleka kwako.

Konda tafadhali nishushe hapahapa nimefika, mwendo wa dereva ni hatarishi.
Amapantsula indaaabaaa kabani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni sifa mbaya sana kuanza kuhofiwa kwa wizi na utapeli nje ya nchi sasa tutapataje michongo wazee kama hatuaminiki kiasi hiki, ndio maana nasikiaga fununu wa bongo 99% walioko SA kazi yao kubwa ni kuuza sembe sijui hili limekaeje wazee [emoji848]
 
Pole sana

Ila msamehe afu sahau
 
WATU WENYE ROHO MBAYA NDIO WATAPATA NAFASI YA KUWACHINJIA BAHARINI WATU ILIOBIDI WAWASAIDIE.

Ukweli sio Watanzania wote matapeli. Utapeli ni tabia ya mtu.
 
Nyimyi watanganyika kazi zenu ni wizi na ujambazi ndio maana uaminifu kwenu ni zero tofauti na wazanzibar wanavoaminiwa ndani ya nchi yao mpaka njee ya nchi yao
Halafu nyinyi mnajikutaga watakatifu sana, mtafikiri nyinyi sio wezi,wazinzi.... kemea tabia ya mtu na sio asili ya mtu acheni ubaguzi
 
Na sijasema nchi za Sadc. Ni nchi zenye mifumo imara ya teknolojia.
Hong Kong hawagongi pia na Iran walikua hawagongi watu wakienda kutalii pale walikua wanasumbuliwa Nchi zingine maana waliwekewa vikwazo kugonga kwa Nchi zetu ni nzuri mitandao ikigoma waona...
 
Nyimyi watanganyika kazi zenu ni wizi na ujambazi ndio maana uaminifu kwenu ni zero tofauti na wazanzibar wanavoaminiwa ndani ya nchi yao mpaka njee ya nchi yao
Ni kweli Wazenji waminifu sana ila wamekuja kuharibiwa na wa Italiano wanawatoa marinda sana vijana wa kizenji huko pwani mahotelini...
 
Huyo dogo bora ungemlengesha kwa manjagu arudishwe TZ tumfunge miezi 6 kwa kosa la kutoroka Nchini
 
Ahsante Mungu kwa kukutana na comment ya mtu ambaye tuna-share ideology na personalities, hata mimi nipo hivyo mkuu! Ni jambo la furaha mno kuona comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…