Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

Nakubaliana na wewe kabisa true kwenye kuharibu mbongo mpopo atasubiri.
Shida yenu mmewajua sasa hivi hao wapopo wanaharibu kuliko unavyodhania kuharibu kwa wabongo kuiba vitu vya saloon ndio kuharibu huko...
 
Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo sisi tulio nje huwa na desturi au utamaduni wa kusaidiana bila kujali tofauti zetu za kikabila, dini, rangi, jinsia au kanda ya mtu anayotokea ilimradi sote ni watanzania na tunatokea kwenye ardhi ya Tanzania basi ni ndugu.

Sasa basi miezi 3 iliyopita kuna kijana aliingia Kaburu akitokea bongo kwa lengo la kuja kutafuta maisha. Kijana anadai kuna rafiki yake wa kitaa, kwa sasa anaeishi Capetown ndio alimshawishi kuja maisha haya, lkn alipoingia tu "Kaburu" yule rafiki yake akamzimia simu na kumkosa kabisa online.

Kijana akachanganyikiwa asijue wapi pakwenda wala nini cha kufanya. Nikiwa katika mizunguko yangu mitaa ya park station Johannesburg, ghafla nikapita sehem na kumuona kijana akiwa kajiinamia na begi lake huku machozi yakimtoka. Nikamsogelea taratibu na kujaribu kumuuliza kwa lugha ya wenyeji, ghafla nikasikia jamaa akiongea kiswahili, hii ikanipa nguvu ya kumsogelea na kumuuliza zaidi baada ya kugundua kuwa naongea na mtu anaetoka nchini kwetu. Baada ya maongezi ya hapa na pale nikagundua kuwa jamaa ameingizwa cha kike na mwenyeji wake, kwahiyo nikachukua jukumu la kumsaidia.

Nikaondoka na jamaa hadi nyumban, akaoga, akala, baada ya kula nikampa sehem ya kupumzika akalala. Kwa kuwa mimi nina familia ikanibidi niende kuongea na homeboy fulan ambae ni single ili ampe hifadhi ya miezi kadhaa wakati nikiendelea na mchakato wa kumtafutia shughuli ya kufanya, mshikaji akakubali lkn kwa masharti ya kumsaidia kulipa rent.

Kwa kuwa nilikuwa nimeamua kumsaidia kijana, basi nikaona poa tu acha nimsadie kulipa rent ili aweze kuishi nae. Kijana tumekaa nae mwezi wa kwanza, wa pili na sometimes nilikuwa naenda nae kwenye mishe zangu ili kumzoesha mazingira ya nchi, na mishe za hapa na pale. Mwezi mmoja uliopita kuna rafiki angu Mkenya ambae tuliwahi kufanya nae kazi huko Gezina, Pretoria.

Mkenya alikuwa anatafuta mtu wa kumuachia saluni yake kubwa na ya kisasa iliyopo nje kidogo ya jiji la Pretoria huko Nellmapius, kwa malipo ya R600 kwa week (sawa na sh elfu 85 au elf 90) kula na kulala bure. Kwa vile nilikuwa na kijana na tayari alishanambia kuwa bongo kazi yake kubwa ilikuwa ni ukinyozi, nikaona YES maji ya mvua yameangukia juu ya mgongo wa bata. Nikampanga kijana, kesho yake mapema nikampeleka mpaka Pretoria kwa yule Mkenya na kumkabidhi.

Kweli bwana baada ya siku mbili kijana akaanza kazi huku Mkenya akiniomba nimtafutie vijana wengine ambao wataenda kusaidizana nae, maana saluni ni kubwa ilihitaji vinyozi zaidi ya watano, lkn pia kijana lugha ni tatizo, so alitaka ambao wangeweza pia kusaidiana hata katika mambo ya lugha za wenyeji ili kuwateka vizuri wateja wa kizawa.

Nikamuahidi jamaa kumtafutia hao vijana. Wakati namuacha kwa yule Mkenya kijana wang nilimuachia sim kwa ajili ya mawasiliano yetu, au ndugu zake wa bongo, au boss wake (Mkenya). Dogo tukawa tunawasiliana ananipa taarifa za kazi na mimi nampa mpa moyo kuwa akomae ili atimize malengo ya kile kilichomleta hapa nk. Siku tatu zilizopita sikumpata online, nikajua labda simu imepata tatizo ghafla.

Sasa jana yule rafiki angu Mkenya amenipigia simu na kuniambia kuwa jamaa amemuibia kila kitu cha saluni, na hela ambazo yule Mkenya anaendaga kuzichukua kwa week jamaa katimka nazo. Simu yake haipiti na hatujui tutamtoa wapi. Nilipotaka kumlipa yule Mkenya nusu ya hasara ya vitu alivyoiba jamaa, Mkenya amkataa amesema nisijali kwa vile sio kosa langu ni kosa la mtu mungine kwahiyo mimi sistahili kumlipa na ukizingatia na rafiki yangu.

Hiki kitendo cha huyu jamaa kimenisononesha na kunivunja nguvu. Imenifanya sasa niwachukie wabongo wenzangu, maana hii ni mara pili sasa nawasaidia wabongo afu wanaharibu na kutimkia kusikojulikana, japo kwa huyu sikutegemea hata kidogo kutokana na upole na muonekano wake.

Najua binadamu tunatakiwa tusamehe, lkn kwa mikasa hii sioni sababu ya kusamehe kwa lengo la kurudi kumsaidia mungine labda yule nimjuae A to Z. Ndugu zangu wabongo tubadilike, hii dunia tunapita tu. Kumuharibia mtu anaekusaidia sio ujanja bali ni ujinga wa mwisho. Hii ni tahadhari nimetoa kwa vijana wengine kuwa makini sana. Asanteni
broda pole sana aisee. najisikia unavyosikia

Kuna kanuni moja muhm Biblia imesema watu wengi wanakoseaga sana

Biblia inasema kuwa na kiasi na kila kitu ya hata mzazi wako akikuomba laki hata kama unayo mpe 70. Usifanye msaada kwa asilimij mia utampelekea msaidiwa kufikiria nje ya kusudi. Maana kile kipande cha yeye kuhangaika kufikiri ushakijaza sasa mawazo yanayokuja kichwan ni nje ya mpango wenyewe. Hata Mungu ametuumba akatupa kanuni za kuhangaika kutafuta ili ufikie malengo. hajatuletea kila kitu mezani. Mimi nakusihi usikatishwe tamaa na aliyofanya dogo. Hicho unachofanya ni wito ila kuwa na kiasi. Yaani huwez kujizuia kusaidia watu coz hicho kitu kimeumbiwa ndan yako. Unachoweza kufanya ni kuwa na kias ili Mungu atimize lengo lake vizur kupitia wewe na nakuhakikishia kadri unavyofanya hvyo ndivyo unavyozid kubarikiwa. Mungu sio dhalim bro. ones again pole sana. Siku moja nikipewa nafasi nitakuja na kisa changu nilimsaidia jamaa simjui airport Hong Kong alikuwa ni mmisri. alikuwa amekwama na alikuwa analia kweli kweli cha ajabu aliacha watu wote akaja kwangu nimsaidie na ckuweza kumkatalia dola mia 5 by then. The rest ni histor. Mungu ni muaminifu kabisa mi naamini hvyo.
 
Umeongea ukweli na kunipa ushauri mzuri sana. Ila waswahili wanasema "mguu ulioumwa na nyoka, ukikanyaga jani unashtuka. Ki ukweli itanipa wakati mgumu sana kusaidia mtu nisiemfahamu, japo sijui huko baadae huenda nitasahau ni kibadili moyo kidogo.
Asante kwa kunisikiliza. Mantiki yangu ni kwamba siyo tu suala la kusahau hapo baadaye na kubadili moyo; bali ni suala la kupima kila kitu kwa viwango vyake. Yule Mkenya anakuthamini sana wewe na huenda unatutangaza Watanzania kuwa watu wazuri kwa kuwa tu wewe Mtanzania mmoja ulimfanyia mema. Sasa amekuja Mtanzania mwingine kupitia kwako. Mkenya akamwamini kwa sababu yako lakini mwenzetu akamfanyia mabaya. Sasa Mkenya akibadilika na kuanza kutusema vibaya Watanzania kwa sababu tu ya huyu mwenzetu mmoja, atakuwa amekosea. Vipi asahau wema wako? Sahihi ni kumpima kila mtu kadiri umuonavyo na ukiridhika naye unaendelea naye. Katika upimaji, ruksa kutumia uzoefu wako na watu wa aina ya huyo unayemkadiria, ingawa hiyo haitakufanya uwe sahihi kwa asilimia 100.
 
Duh pole sana,kuna vijana wawili wabongo niliwasaidia kukaa kwenye chumba mahali maana mi nilikua nashinda kwa wife mda wote chumba kilikua mahsusi kwa michepuko.

Dogo huyo mmoja ambaye hata kuja pale aliniomba saana maana alikua kwenye makambi ya wakimbizi huko porini.
Simjui hanijui ni mjomba wake rafiki yangu tulipokutana akanifahamisha.

Sasa dogo ilikua lazima apate sehemu ya kukaa ndio ahamie mjini.
Nikampa hifadhi yule dogo.

Badae alifanya mambo ya ajabu sana akaniharibia jina mjini hapa na imani kwa watu.
Ilichukua muda sana kurekebisha.

Toka hapo niliachana na wabongo kabisa mpk leo.

Huyo dogo tunaonana sana tu ila mwenyewe hana raha kashaomba sana msamaha namwangalia tu nikikumbuka yale mambo.
Nashkuru mungu kwake hakuharibikiwa ametoboa na yuko vizuri.ila vuwa akiniona tu anajutia alichotenda na nafkiri kwangu kawaharibia wengine fursa za msaada.

Sisaidii mtu mpaka leo.
Msaada mkubwa nikitoa ni ofa ya bia tu kisha tuachane.
Nilimsamehe anyway.
 
Tatizo letu watz wengi ni wachawi, hata ukimsaidia lazima wakuu wake wamlazimishe akuharibie tu, na atafanya hivyo japo moyoni anajua kuwa ulimsaidia, ni uchawi wa kipumbavu tu unaopatikana taifa hili,
 
Nakubaliana na wewe kabisa true kwenye kuharibu mbongo mpopo atasubiri.
Kweli mkuu, ndo nimemwambia homeboy fulan hapo juu kuwa wabongo nao sio watu wa kucheza nao. Nimemtolea mfano wa nchi ambazo wapopo wamevamia kwa kasi na kupiga hela ndefu kupitia uzuzu wa raia wa nchi hizo, lkn kwa Tanzania imekuwa tofauti, kila wapopo wanapojaribu kutengeneza chaka ili wapige mpunga kama wapigavyo katika nchi nyingine wabongo ananyea, kila wakijaribu wabongo wananyea hadi wapopo wenyewe wanasanda na kuamua kujisogeza katika nchi zingine za jirani kama vile Kenya, Zambia, Rwanda nk, ambapo pamoja na elimu nzuri ya raia zao, lkn bado nchi hizo zimejaza mazuzu wa kumwaga kwahiyo wapopo wanapata mwanya wa kutengeneza chaka la kupigia hela kupitia raia hao. Wapo wanaopiga hela nchi hizo kupitia mgongo wa kanisa, biashara za halali na haramu, uchenjishaji hela, mambo ya internet nk. Hapa Kaburu ukitoa dili la kwenda kupiga mchomoko usiku katika sehem hatarishi basi utapata 70% ya wabongo ambao wako tayari kwenda na ww lkn kwa upande wa wapopo unaweza kupata 15% kwa vile hawapo tayari kufa kwa ajili ya pesa, ila wapo tayari kufungwa hata miaka 10 jela kwa ajili ya kuuza ngada maana anajua akikamatwa anaweza kuonga kesi ikaisha. Kuna mpopo aliwahi kunambia kuwa ni rahisi mpopo kupiga hela ndefu katika nchi zenye vita kama centre africa, congo nk kuliko kupiga hela katika nchi ya Tanzania. Wanajua.
 
Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo sisi tulio nje huwa na desturi au utamaduni wa kusaidiana bila kujali tofauti zetu za kikabila, dini, rangi, jinsia au kanda ya mtu anayotokea ilimradi sote ni watanzania na tunatokea kwenye ardhi ya Tanzania basi ni ndugu.

Sasa basi miezi 3 iliyopita kuna kijana aliingia Kaburu akitokea bongo kwa lengo la kuja kutafuta maisha. Kijana anadai kuna rafiki yake wa kitaa, kwa sasa anaeishi Capetown ndio alimshawishi kuja maisha haya, lkn alipoingia tu "Kaburu" yule rafiki yake akamzimia simu na kumkosa kabisa online.

Kijana akachanganyikiwa asijue wapi pakwenda wala nini cha kufanya. Nikiwa katika mizunguko yangu mitaa ya park station Johannesburg, ghafla nikapita sehem na kumuona kijana akiwa kajiinamia na begi lake huku machozi yakimtoka. Nikamsogelea taratibu na kujaribu kumuuliza kwa lugha ya wenyeji, ghafla nikasikia jamaa akiongea kiswahili, hii ikanipa nguvu ya kumsogelea na kumuuliza zaidi baada ya kugundua kuwa naongea na mtu anaetoka nchini kwetu. Baada ya maongezi ya hapa na pale nikagundua kuwa jamaa ameingizwa cha kike na mwenyeji wake, kwahiyo nikachukua jukumu la kumsaidia.

Nikaondoka na jamaa hadi nyumban, akaoga, akala, baada ya kula nikampa sehem ya kupumzika akalala. Kwa kuwa mimi nina familia ikanibidi niende kuongea na homeboy fulan ambae ni single ili ampe hifadhi ya miezi kadhaa wakati nikiendelea na mchakato wa kumtafutia shughuli ya kufanya, mshikaji akakubali lkn kwa masharti ya kumsaidia kulipa rent.

Kwa kuwa nilikuwa nimeamua kumsaidia kijana, basi nikaona poa tu acha nimsadie kulipa rent ili aweze kuishi nae. Kijana tumekaa nae mwezi wa kwanza, wa pili na sometimes nilikuwa naenda nae kwenye mishe zangu ili kumzoesha mazingira ya nchi, na mishe za hapa na pale. Mwezi mmoja uliopita kuna rafiki angu Mkenya ambae tuliwahi kufanya nae kazi huko Gezina, Pretoria.

Mkenya alikuwa anatafuta mtu wa kumuachia saluni yake kubwa na ya kisasa iliyopo nje kidogo ya jiji la Pretoria huko Nellmapius, kwa malipo ya R600 kwa week (sawa na sh elfu 85 au elf 90) kula na kulala bure. Kwa vile nilikuwa na kijana na tayari alishanambia kuwa bongo kazi yake kubwa ilikuwa ni ukinyozi, nikaona YES maji ya mvua yameangukia juu ya mgongo wa bata. Nikampanga kijana, kesho yake mapema nikampeleka mpaka Pretoria kwa yule Mkenya na kumkabidhi.

Kweli bwana baada ya siku mbili kijana akaanza kazi huku Mkenya akiniomba nimtafutie vijana wengine ambao wataenda kusaidizana nae, maana saluni ni kubwa ilihitaji vinyozi zaidi ya watano, lkn pia kijana lugha ni tatizo, so alitaka ambao wangeweza pia kusaidiana hata katika mambo ya lugha za wenyeji ili kuwateka vizuri wateja wa kizawa.

Nikamuahidi jamaa kumtafutia hao vijana. Wakati namuacha kwa yule Mkenya kijana wang nilimuachia sim kwa ajili ya mawasiliano yetu, au ndugu zake wa bongo, au boss wake (Mkenya). Dogo tukawa tunawasiliana ananipa taarifa za kazi na mimi nampa mpa moyo kuwa akomae ili atimize malengo ya kile kilichomleta hapa nk. Siku tatu zilizopita sikumpata online, nikajua labda simu imepata tatizo ghafla.

Sasa jana yule rafiki angu Mkenya amenipigia simu na kuniambia kuwa jamaa amemuibia kila kitu cha saluni, na hela ambazo yule Mkenya anaendaga kuzichukua kwa week jamaa katimka nazo. Simu yake haipiti na hatujui tutamtoa wapi. Nilipotaka kumlipa yule Mkenya nusu ya hasara ya vitu alivyoiba jamaa, Mkenya amkataa amesema nisijali kwa vile sio kosa langu ni kosa la mtu mungine kwahiyo mimi sistahili kumlipa na ukizingatia na rafiki yangu.

Hiki kitendo cha huyu jamaa kimenisononesha na kunivunja nguvu. Imenifanya sasa niwachukie wabongo wenzangu, maana hii ni mara pili sasa nawasaidia wabongo afu wanaharibu na kutimkia kusikojulikana, japo kwa huyu sikutegemea hata kidogo kutokana na upole na muonekano wake.

Najua binadamu tunatakiwa tusamehe, lkn kwa mikasa hii sioni sababu ya kusamehe kwa lengo la kurudi kumsaidia mungine labda yule nimjuae A to Z. Ndugu zangu wabongo tubadilike, hii dunia tunapita tu. Kumuharibia mtu anaekusaidia sio ujanja bali ni ujinga wa mwisho. Hii ni tahadhari nimetoa kwa vijana wengine kuwa makini sana. Asanteni
Wabongo siyo watu- Rosa Parks 1955
 
Huwa najiilizaga mara nyingi why bad things happen to good people.
 
Oya huku bongo huyo dogo anatokea eneo gani? Unaweza kumpata kwa kujua huku anatokea maeneo gani.
 
South Africa ya siku hizi ina watu wema hivyo? Yani umkute mtu analia uende kumuuliza analia nini unamsemesha kizulu then unagunduwa ni Mtanzania unampeleka kwako.

Konda tafadhali nishushe hapahapa nimefika, mwendo wa dereva ni hatarishi.
Huyu kachukua Mzulu anayejua Kiswahili anatusingizia wabongo. Mbona wewe umejitanabaisha kuwa ni mbongo Je wewe ni Mwizi?
 
kuna kama ka imani kamejengeka kuwa ukijiongeza kivyovyote vile ukapata kakitu wewe ndo mjanja
kuanzia viongozi wetu hadi sisi wenyewe
hata mzazi wako ukimpa mradi asimamie anaangalia fursa anakupiga
 
Oya huku bongo huyo dogo anatokea eneo gani? Unaweza kumpata kwa kujua huku anatokea maeneo gani.
Alisema yey ni mwenyeji wa kijitonyama jina lake Frank ila anajulikana zaidi kwa jina la chagosi
 
SA ikishindikana ntajaribu hata Botswana lakini hapa home sijioni nikiishi Tena japo sijui saa wala siku ya kuondoka
Kwa kifupi kama huna familia, yani hujao wala hutegemewi best luck, huwa naamini kwenye maisha kuna bahati pia mimi mwenyewe ni shuhuda.

Omba Mungu muamini Mungu yeye ndio anajuwa destiny yako. Ongeza umakini, don't give up unatobowa.

Haya maisha ya kukomaa nchi za watu ni mazuri ukianza na umri mdogo kabla hujawa na commitment za kutegemewa na familia.
 
Tanzania haipo kwenye kundi la kuulizwa show money kuingia Nchi za SADC ukiulizwa hivyo jua wanataka rushwa tuu na OT wapo busy hawana maswali ya utakaa siku ngapi ugongewe utoke na muda mwingine aulizi kitu ni kukupa siku Tisini...
Naonaga wakati wa kutoka ndio hata hawaangaliii vizuri, nilihisi hata ukiover stay watakugongea tu exit yani wako busy mno...
 
Wanaoingia kupitia border mara nyingi wana one way ticket, immigration huwa wanauliza hilo.

Nimelenga kwa wale wa border entry ambao ndio wengi sana.
Okay nimekuelewa mkuu!
 
Back
Top Bottom