Naapa kuwa sirudii tena kumsaidia Mtanzania -- never!

Huyo dogo bora ungemlengesha kwa manjagu arudishwe TZ tumfunge miezi 6 kwa kosa la kutoroka Nchini
Hakutoroka mkuu, alikuja kihalali, japo hakujua kuwa akifika huku atafanya mishe gani.
 
Ilikuwa zamani siku hizi kupata viza ya tz kwa popo ni ngumu sana
 
Acha ujinga bro!! That is racism and "bongophobia"wabongo wapo zaidi ya milioni 50,wewe umemsaidia mmoja!! Akazingua,sasa unawachukia wote,ukiamini watakuwa na tabia kama huyo mmoja!!!??
 
Ilikuwa zamani siku hizi kupata viza ya tz kwa popo ni ngumu sana
Popo Nchi nyingi kupata visa ni ngumu lakini nawaweka kundi la kwanza kwa wanaosafiri Afrika na ndugu zao Senegal si kama Waethiopia na Wasomali lakini angalia huko nje walivyosimika mizizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…