mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Mkuu taarifa zako tunazo kuna yule jamaa mlitaka kupiga nae dili kule bandari ya mtwara kuhusu magendo na ukaapa mwaka hutaisha lazima ununue gari yakoWewe unanijua zaidi ya ninavyojijua? Pili hapa jamii forum sifahamiani na mtu yeyote yule zaidi ya humu sababu Kwa hii user name ninayotumia 3 sijawahi kufika mtwara na Tanzania mara ya mwisho kuishi ni 2008 huwa nakuja salimia family na kurudi huku nilipo, mwaka 2020 pia nilikaa huko dodoma Kwa miezi kama 6 hivi Kwa kazi maalum. Ahsante
Umeajiriwa mwaka jana tuu unataka kupiga madili tunakufuatilia kwa ukaribu sana
Faili lako lipo sehemu husika umetegwa ukijaaa tuu hiyo kazi huna na mahakaman unaenda
Asante