Naapa naahidi Tanzania nitakulinda mpaka kufa

MENEMENE TEKERI NA PERESI

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2022
Posts
5,392
Reaction score
14,646
Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele .
Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu .

Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max .

Nawapenda Sana Ila mwisho na sio kwa umuhimu kwaheri Samia na kwaheri Dkt. Gwajima D ,tukutane kesho hapa hapa jamvini .

Nakupenda Tanzania ,wazee kwa vijana na wanawake habari iwafikie Sasa mjini si shamba na mzaramo Mimi si mwanakijiji tena Ila Sasa ni mtoto wa mjini jaa nikumalize ,inuka nikugonge ,inama nikisujudie ,ahsante nchi yangu ,ahsante akili zangu na elimu yangu sasa ya kale yamepita ,tukutane nyuma ya nondo nikiwafundisha judo na kuwapiga maswali mtambuka .

🙏🙏
 
Msiwe na haraka ndugu zangu , kila mtu atachanganyikiwa tu.
1739009336291.jpg
 
Salamu kwa mkeo ,kwangu sio kipaumbele .
Nawasalimu wote wanaonijua na wanaonipenda ,endeleeni kufurahia na kufanya yapendezayo moyo wenu .

Kwaheri watanzania ,kwaheri marafiki ,kwaheri ma_ex ,kwaheri warembo ,kwaheri mashababi na kwaheri majobless pro max .

Nawapenda Sana Ila mwisho na sio kwa umuhimu kwaheri Samia na kwaheri Dkt. Gwajima D ,tukutane kesho hapa hapa jamvini .

Nakupenda Tanzania ,wazee kwa vijana na wanawake habari iwafikie Sasa mjini si shamba na mzaramo Mimi si mwanakijiji tena Ila Sasa ni mtoto wa mjini jaa nikumalize ,inuka nikugonge ,inama nikisujudie ,ahsante nchi yangu ,ahsante akili zangu na elimu yangu sasa ya kale yamepita ,tukutane nyuma ya nondo nikiwafundisha judo na kuwapiga maswali mtambuka .

🙏🙏
Unaenda wapi kwani mbona mbio mbio hivi, hujambo lakini
 
Habari yako mh waziri,
Kwanza nimefurahi kukuona hapa ili nikuilize maswali kuhusiana na hili jambo kubwa linalo endelea "USAID"
1. Nini mpango wako kama waziri na wizara yako ama serikali inachukua tahadhari zipi kuhusiana na hofu inayo endelea kwa jamii kuhusiana na Trump kusitisha fedha za misaada kwa wenye uhitaji..??
2. Je nini tutarajie kuhusu maambukizi ya HIV ikiwa Trump hato rejesha ufadhili...??
 
Hujambo? Yuko msemaji wa Serikali subiri wakati ukifika utasikia. Ahsante Sana kwa swali zuri. Tuendelee kupiga vita ukatili wa kijinsia na kwa watoto. 🇹🇿
 
ARV.. ..Kupotea imeshachanganya watu.. ..Trump sio mtu mzuri..!
 
Back
Top Bottom