technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezaji mafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!