Nabi afukuzwe haraka Sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Mimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.

Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.

Tuna kundi la wachezaji tu

Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..

Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?

Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?

Wachezaji mafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?

Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!

Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!

Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu

Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!
 
Wew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
 
Kwani zalan ni ya wapi
 
Kwani unachagua wa kukutana nae
 
Kwani zalan ni ya wapi
Weusi wenzetu maskin kama Bongo hawana umeme na maji kama sisi ndio maana tulishinda..
Nabi ni Kocha mzuri sana Simba roho inawauma kuona Yanga wana kocha ambae mnashindwa kumfunga ndio maana mnaazisha kampen kujifanya ni Yanga hamumtaki 😂😂😂😂
 
Momeshangaa sana leo hii yanga kushindwa kupata goli kwq vibonde kama hawa ambao hata wachambuzi wote wa bongo waliwadisi
 
Bingwa wa kweli hachagui timu ya kucheza nayo, aje Orlando Pirates, Al Ahli Al Hilal, Vita, Berkane, Kaizers Chief, Asec Mimosa, Zamalek, you name it... kwa Mkapa hatoki
 
NIWE TU MKWELI HUWA NAFURAHI SANA KUONA MASHABIKI WA UTOPOLO WANAKOSA FURAHA[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Unbeaten za mchongo hizo,ndio maana mnachemka kimataifa
 
Tatizo lenu lingne kubwa ni ule mwiko kuwa nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…