Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo.
"Kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na mimi kuwa ile haikuwa kona halali, ilipaswa iwe goal kick ila ikaamuliwa kuwa ni kona na hatimae tukafungwa goli la haraka," aliongeza Nabi.