Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwa suala la muda tu..hapo hajaweka wazi sababu za kuondoka ila alichofanya ni kusafisha mwanae na lawama.
Ona yaani mlimfanya KuliView attachment 2661375
Mambo mengine ni rahisi sana hayahitaji kukaza shingo.Hersi alivyosema kuwa Nabi atakuwepo kwa miaka miwili zaidi wakati anahojiwa na Wasafi Fm bàada ya kurejea kutoka Algeria kwenye fainali nae ni kutoka kwa "jirani aliyefeli" ?
Uzushi wa kuwa mwanawe Nabi ndiye wakala wake na alikuja Dar kwa ajili ya kuongeza mkataba wake zilienezwa na Edo KumwembeView attachment 2661243N
Aliyekuwa kocha wa Yanga SC Nasreddine Nabi ameeleza maamuzi yake ya kutoendelea kuwa na timu hiyo aliyawasilisha mara baada ya mechi dhidi ya TP Mazembe, na tangu hapo hajawahi kukaa mezani na timu hiyo kujadiliana kuhusu mkataba mpya kwani tayari alishawasilisha maamuzi yake Na kwa kipindi hicho alichowasilisha maamuzi hayo,hakuwa na ofa kutoka timu yoyote.
Nabi kupitia ukurasa wake wa Instagram amefafanua kuwa ripoti za mwanae wa kiume ni wakala wake na alikuja Tanzania kwa ajili ya mazungumzo ya mkataba ni uongo na za kijinga, kwa sababu mwanae bado ni mwanafunzi pia mwanae ni shabiki wa timu,Alikuja Tanzania kuisapoti timu na baba yake
Ameandika Nabi kupitia Insta Story.
Kocha huyo amemaliza kwa kuwaomba watu wasimuhusishe mwanae kwani hahusiki kabisa kwenye maamuzi ya kazi yake.
Hizo sababu ziko ukurasa wa nyuma au mwenzetu Mchambuzi unaona mbele zaidi?View attachment 2661243N