Nabi Katoa Sababu Zilizomuondoa Yanga

Ilikuwa suala la muda tu..hapo hajaweka wazi sababu za kuondoka ila alichofanya ni kusafisha mwanae na lawama.
Ona yaani mlimfanya Kuli
 
Makocha wengi wa kigeni waliowahi kufundisha Tanzania wakaondoka hutamani kurudi tena; wengine huenda hata kufundisha timu ndogo huko mikoani. Ngoja tuone itakuwaje kwa upande wa nabi; nilisoma mahala kuwa amepata kandarasi ya Miaka mitatu Kaizer Chiefs.
 
Hersi alivyosema kuwa Nabi atakuwepo kwa miaka miwili zaidi wakati anahojiwa na Wasafi Fm bàada ya kurejea kutoka Algeria kwenye fainali nae ni kutoka kwa "jirani aliyefeli" ?
Mambo mengine ni rahisi sana hayahitaji kukaza shingo.
 
Uzushi wa kuwa mwanawe Nabi ndiye wakala wake na alikuja Dar kwa ajili ya kuongeza mkataba wake zilienezwa na Edo Kumwembe
 
Hizo sababu ziko ukurasa wa nyuma au mwenzetu Mchambuzi unaona mbele zaidi?
 
Kwamba mwanae ambaye ni meneja wake lakini hahusiki na maamuzi ya kazi yake.!

Meneja uchwara gani huyu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…