Nabi na Viongozi wa Yanga wanapong'ang'ania Fei Toto asiondoke Wanajua Aziz Ki hatoshi

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Kocha nabi ndo mtu anaeshinikiza kwa nguvu zote kutokuondoka kwa Feisal, anajua uwezo wa Fei na anajua umuhimubwake ndani ya kikosi na anajua hakuna mchezaji anaefikia nusu ya uwezo wa fei kwa nafasi anazocheza.

Mashabiki wa utopolo acheni kumtukana fei na kumkejeli Kama msimu mzima mlikua hamjaona pengo lake jana ndo mmeliona.

na Nabi jana kasema hana namba kumi mwingine zaidi ya Aziz K kwenye kikosi chake..

USM, Siyo Marumo wala Si Bamako na si Rivers..

Tulieni mkakandwe tena Mrudi mmeloa.

Wajinga tangu waifunge ile timu ya uzaramuni sijui inaitwa Marumo basi mji mzima umekuwa kero.

Wakaanza kujiona Man City kelele nyingi wakaunda na tamasha kwa ajili ya kutucheka

Now wameanza kuja na kauli za maombolezo eti na kutia tia huruma kindezi, sheeenzi
 
Marumo alivyomfunga USMA goli mbili kavu je hai USMA walikuwa ni nani Namungo au? Kwenye mpira lolote linaweza kutokea na yeyote yule anaweza kukufunga kama utafanya makosa
 
Una ushahidi gani kama Nabi anataka Feitoto asiondoke? Timu imefika hapo bila uwepo wa Feitoto
 
Marumo alivyomfunga USMA goli mbili kavu je hai USMA walikuwa ni nani Namungo au? Kwenye mpira lolote linaweza kutokea na yeyote yule anaweza kukufunga kama utafanya makosa
Kama mlijua lolote linawezatokea kwanini mlijipa ubingwa kabla ya dk 180?

Punguzeni midomo, USM si wagonjwa kama marumo.
 
[emoji23][emoji23]
 
Uaisahau timu imefika hapo kwa kukutana na wagonjwa kama Marumo,rivers,Mazembe na bamako

Jana nabi kamnanga aziz
Nabi aondolewe yaani eng hersi alimfuata aziz kwao halafu et anasema hafai😀😀
 
makolo acheni kuweweseka, je mtaweza kuvumilia kuweweseka kwa miaka 10 ijayo...??
 
Marumo alivyomfunga USMA goli mbili kavu je hai USMA walikuwa ni nani Namungo au? Kwenye mpira lolote linaweza kutokea na yeyote yule anaweza kukufunga kama utafanya makosa
Mbna hao Marumo nao walifungwa na ISMA afu husemi.
 
Mbna hao Marumo nao walifungwa na ISMA afu husemi.
Ndio maana nikasema mpira haupo hivyo ambavyo mleta uzi anafiikiria, ameidharau Marumo wakati Marumo hao hao wamemfunga USMA. Marumo na USMA kila mmoja kamkandia mwenzie kwake.
 
YANGA KAZIFUNGA TIMU NYINGI MSIMU HUU SIMBA IKIWEMO
 
YANGA KAZIFUNGA TIMU NYINGI MSIMU HUU SIMBA IKIWEMO
Mechi mliyotufunga ilisababishwa na sub za kocha.

Halafu umeishia hapo, ina maana hujui kuwa last derby ulipasuka?
 
Ndio maana nikasema mpira haupo hivyo ambavyo mleta uzi anafiikiria, ameidharau Marumo wakati Marumo hao hao wamemfunga USMA. Marumo na USMA kila mmoja kamkandia mwenzie kwake.
feisal ni mchezaji mzuri ila sio pengo timu imefika fainali huyo fei hayupo,ningeelewa huu upuuzi km yanga isingetoboa kwenye makundi lkn sio kwa levo hizi tulizofikia,kwanini yanga isifungwe???
 
Mechi mliyotufunga ilisababishwa na sub za kocha.

Halafu umeishia hapo, ina maana hujui kuwa last derby ulipasuka?
kuna tofauti kubwa sana pale tulipowafungeni nyinyi na mlipotufunga sisi,tumewafunga mechi iliyoongeza kitu kwenye kabati la makombe mmetufunga ktk mechi ambayo haikuwaongezea chochote kwenye mashindano
 
feisal ni mchezaji mzuri ila sio pengo timu imefika fainali huyo fei hayupo,ningeelewa huu upuuzi km yanga isingetoboa kwenye makundi lkn sio kwa levo hizi tulizofikia,kwanini yanga isifungwe???
Mashabiki wa Yanga ndio wanaotaka kumpigia chapuo mla sukari wao kuwa ana umuhimu. Huyo kwasasa hakuna pengo lake ila Aucho dah basi kwavile hakuna jinsi. Aucho ni pengo pale
 
kuna tofauti kubwa sana pale tulipowafungeni nyinyi na mlipotufunga sisi,tumewafunga mechi iliyoongeza kitu kwenye kabati la makombe mmetufunga ktk mechi ambayo haikuwaongezea chochote kwenye mashindano
Raha kumfunga mtani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…