Nabi na Viongozi wa Yanga wanapong'ang'ania Fei Toto asiondoke Wanajua Aziz Ki hatoshi

Nabi na Viongozi wa Yanga wanapong'ang'ania Fei Toto asiondoke Wanajua Aziz Ki hatoshi

Ndio maana nikasema mpira haupo hivyo ambavyo mleta uzi anafiikiria, ameidharau Marumo wakati Marumo hao hao wamemfunga USMA. Marumo na USMA kila mmoja kamkandia mwenzie kwake.
Sasa Yanga kwake kashindwa kumkanda ndo atawezaa kwaooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kocha nabi ndo mtu anaeshinikiza kwa nguvu zote kutokuondoka kwa Feisal, anajua uwezo wa Fei na anajua umuhimubwake ndani ya kikosi na anajua hakuna mchezaji anaefikia nusu ya uwezo wa fei kwa nafasi anazocheza.

Mashabiki wa utopolo acheni kumtukana fei na kumkejeli Kama msimu mzima mlikua hamjaona pengo lake jana ndo mmeliona.

na Nabi jana kasema hana namba kumi mwingine zaidi ya Aziz K kwenye kikosi chake..

USM, Siyo Marumo wala Si Bamako na si Rivers..

Tulieni mkakandwe tena Mrudi mmeloa.

View attachment 2639015
Wabageni nae tu aongeze nguvu walau kwa hiyo mechi moja
 
Back
Top Bottom