Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Bado ana nafasi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligiMayele ndo basi tena! Safarin yake imeishia hapo! Ni sifa kwa watanzania kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado ana nafasi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligiMayele ndo basi tena! Safarin yake imeishia hapo! Ni sifa kwa watanzania kiatu cha dhahabu kuchukuliwa na mzawa.
Bado Mayele ana nafasi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi.Huyo mayele biashara ndiyo imeishia hapo,msimu ujao goli atalitafuta Kwa tochi
Huyo Andunje phiri na mwenzake Balinya Manzoki ndio waje kuwa tishio..?
Bado hatujaongezea hapo goal machines km Okra, Sakho na Kibudee.Manzoki na Moses Phiri watakuwa wapi?
Huko walikotoka walikuwa wafungaji Bora? Ndiyo waje kuanzia hapa?Kwani washambuliaji wenu John Bocco, Meddie Kagere, Cris Mugalu na yule swahiba wako Kibu Denis walikuwa wapi msimu huu kiasi cha kushindwa kuvuka hata magoli 10 tu kwa kila mchezaji?
Usikimbilie kwa hao wachezaji ambao hawajaanza hata kucheza kwenye ligi yetu.
Prof Nabi.Prof Nabi amenishangaza sana leo.
Mara baada ya kutamatika kwa Mechi baina ya Yanga SC na Mtibwa hapa Jangwani Stadium leo tarehe 29/06/2022.
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka shirika la BBC alimuhitaji kwa Mahojiano mafupi, Nabi akakubali.
Swali la kwanza kwa kocha Nabi lilikuwa:
“Ni kwa namna gani matokeo ya mbio za ufungaji bora msimu huu zitamuathiri Mshambuliaji wako Fiston Mayele kwenye msimu ujao wa LigiKUU?”
Prof NABI akajibu:
Nadhani kumaliza kwake katika nafasi ya pili kumfanye asibweteke msimu ujao, ni matumaini yangu kuwa msimu ujao amalize akiwa na zaidi ya magoli aliyomaliza nayo katika msimu huu.
Unamaanisha msimu huu bila shaka!! 😃Huko walikotoka walikuwa wafungaji Bora? Ndiyo waje kuanzia hapa?
Msimu ujao Huyo mtingisha nyonyo atafikia atachemsha na kuanzia sub. Km msimu huu kashindwa habari yake imeisha.Itoshe kuusema imebaki story.