Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
“Maandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfa maji hakosi kutapatapa, Yanga wamekaa zaidi ya wiki bila mechi halafu wanaleta janja ya nyani kutafuta kichaka wajifichie.“Maandalizi yetu ni magumu hatujapata muda wa kutosha tumetumia muda mwingi kwenye recovery. Tunataka tutoe wito kwa wanaopanga ratiba, tunaliwakilisha Taifa tunaombea siku zijazo lisitokee tena”View attachment 2638586
Kwanini Mbumbumbu hamkuandamana Yanga wasipangwe na vibonde hatua zote alizocheza CAFCCL ikiwa kweli mlikuwa mna nia ikutane na timu ngumu?Yanga kiwango kidogo, tatizo walizoea kukutana na viwete. Kwa hawa waarab, Simba lazima tungewapa bao 3 za haraka haraka.
Maana huwezi kumfunga bingwa mtetezi Wydad halafu ukamuacha huyu kiwete
Mwarabu na andazi unachagua niniii[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kwanini Mbumbumbu hamkuandamana Yanga wasipangwe na vibonde hatua zote alizocheza CAFCCL ikiwa kweli mlikuwa mna nia ikutane na timu ngumu?
03/06/2023 USM ALGER atakufa kwake 2-0 na ubingwa utakuja TZ ili muwe na akiba za maneno.
Marumo Gallants aliyeshuka daraja South Africa alimtandika 2-0 USM ALGER March 2023, naye alikuwa kibonde kwa Marumo Gallants?
Aden Rage ajengewe sanamu kiukweli pale Msimbazi [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Bao 3 za chapchap kama mlizomfunga RAJA, nyumbani na ugenini.Yanga kiwango kidogo, tatizo walizoea kukutana na viwete. Kwa hawa waarab, Simba lazima tungewapa bao 3 za haraka haraka.
Maana huwezi kumfunga bingwa mtetezi Wydad halafu ukamuacha huyu kiwete
Kwanini Mbumbumbu hamkuandamana Yanga wasipangwe na vibonde hatua zote alizocheza CAFCCL ikiwa kweli mlikuwa mna nia ikutane na timu ngumu?
03/06/2023 USM ALGER atakufa kwake 2-0 na ubingwa utakuja TZ ili muwe na akiba za maneno.
Marumo Gallants aliyeshuka daraja South Africa alimtandika 2-0 USM ALGER March 2023, naye alikuwa kibonde kwa Marumo Gallants?
Aden Rage ajengewe sanamu kiukweli pale Msimbazi [emoji23]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaa weeNilitegemea kumsikia Pep wa City akiyasema hayo sio huyu wa loosers[emoji1787] championiship
🤣🤣🤣Kwani Leo huyo Nabi hajaongea hadi kimakondee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akifungwaa tyuuh sijui anakuajee, km amewehuka vileee lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan anajuaga kujitoa ufahamu huyu baba lol[emoji1787][emoji1787][emoji1787]