mbwe
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 1,174
- 2,912
Huyo Zalan alimfungia wapi?Yaan hukumbuki km yanga aliifunga zalan....!! kweli unasahau haraka sana
Yanga haina exposure huwez sema umeshinda game ya kimataifa wakat mech zote umechezea kwa mkapa.
Unapokua ugenini kuna mambo ya tofaut lazima ukutane nayo na utajifunza kitu.
Hata hawa Club African wanaenda kuwapasua na makundi hamuend maana kimbinu wanawazid Sana linapokuja swala kimataifa