Nabi siyo Kocha, anapanga timu kwa kufata kelele za mashabiki

Yaan hukumbuki km yanga aliifunga zalan....!! kweli unasahau haraka sana
Huyo Zalan alimfungia wapi?
Yanga haina exposure huwez sema umeshinda game ya kimataifa wakat mech zote umechezea kwa mkapa.

Unapokua ugenini kuna mambo ya tofaut lazima ukutane nayo na utajifunza kitu.
Hata hawa Club African wanaenda kuwapasua na makundi hamuend maana kimbinu wanawazid Sana linapokuja swala kimataifa
 
Furaha ya Simba ikiendelea mpaka January mwakani naacha kushabikia mpira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…