Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

Nabi wa Afrika ni bora na mahiri 'Kiufundi' kuliko Pablo wa Ulaya na Real Madrid ya Manzese

Nisiwe Mnafiki namkubali zaidi Kocha wa Yanga SC Nabi kuliko Kocha wangu wa Simba SC Pablo.

Tuvumiliane tu kwa huu Ukweli wangu.
Mkuu ahaa tafadhari aisee, kawapikia biriani siku zote hizo mlikuwa kimya na mkamsifia bonge moja la mpishi. Jana tu kuzidisha chumvi ndio mwamtoa thamani hivyo. Mkono uliteleza tu jana
 
Sawa,ila utopwinyo hawabebi ubingwa wowote maimu huu licha ya bahasha kutembea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hatutaki shobo,kila mtu ashinde mechi zake,We si huwa unasema Yanga WANANUNUA,WANAROGA NA KUHONGA REFA?🤣🤣🤣🤣🤣
 
We jamaa wana simba tunakuchukulia kama kibwagizo fulani hivi
 
Back
Top Bottom