Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2016
Posts
1,487
Reaction score
2,599
Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais Mwanamke

Msikilize hapa
Your browser is not able to display this video.


Hakuishia hapo aliwaonya Pia manabii wanaomtabiria Rais Samia Mambo mabaya akiwemo Askofu Mapinduzi, Mbarikiwa mwakipesile na Askofu Kabugimila
Msikilize hapa


View: https://www.instagram.com/nabii_bashando/reel/DKmjwCUsX8Q/
 
Hizi taarifa za manabii uchwara zipuuzwe
 
Anafuta tabiri zote yeye kama nani? No one can ascape the fate
 
Yani Bashando naye ana cha kusikika! Bora hata Gwajima unaweza kuwa interested kumsikiliza kwa sababu ya uwezo wa hela na nguvu zingine zile. Bashando hayuko serious na sidhani kama hata aliwahi kuokoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…