Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

Nabii Bashando afuta Utabiri wa Seikh Yahya, awaonya Askofu kabugimila, Mapinduzi na wenzake

No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election.
No reforms no election
 
Ila tumefika pabaya sana aisee

Yaani chama kinaweza kuwa na mtumishi wa Mungu waliompandikiza?

Ukitaka kujua manabii waliopandikizwa na CCM, hata waseme maneno magumu kiasi gani, hawawezi kuambiwa wanaingilia siasa na hawatatekwa

Ole wake watumishi wa Mungu wa kweli wakemee uovu na kutabiri anguko la ccm, chap na haraka wanapotea na ama kufungiwa na makanisa yao

No reforms no election
 
Mtu anavaaje gunia halafu mchafu hivo, anatakiwa akamatwe apelekwe mirembe ahudumiwe dozi ya ukichaa
 
Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais Mwanamke

Msikilize hapa
View attachment 3361318

Hakuishia hapo aliwaonya Pia manabii wanaomtabiria Rais Samia Mambo mabaya akiwemo Askofu Mapinduzi, Mbarikiwa mwakipesile na Askofu Kabugimila
Msikilize hapa


View: https://www.instagram.com/nabii_bashando/reel/DKmjwCUsX8Q/

Kumekuchaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hakumtaka hapo kuufuta ule utabiri.
Sheikh Yahya alisema mwanamke atatawala,halafu Wapinzani watatawala.
 
Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais Mwanamke

Msikilize hapa
View attachment 3361318

Hakuishia hapo aliwaonya Pia manabii wanaomtabiria Rais Samia Mambo mabaya akiwemo Askofu Mapinduzi, Mbarikiwa mwakipesile na Askofu Kabugimila
Msikilize hapa


View: https://www.instagram.com/nabii_bashando/reel/DKmjwCUsX8Q/

Kazi kweli kweli...
 
chararaa njoo utukune mkristo huyu, tukana wakristo wote ,halafu uache shobo na waislamu .
. SIsi hatufungamani na vyama na ukitaka ambush nafikria utakimbia nchi hii.
 
It is God who enthroned Her, and it is the same God who will dethrone Her.
 
Back
Top Bottom