Watapataje wakati hawatoshiriki?Huu uchaguzi chadema hata wakipata jimbo moja sijui
hasa ikiingia kichwaniNjaa mbaya
Kumekuchaaa🤣🤣🤣🤣🤣Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais Mwanamke
Msikilize hapa
View attachment 3361318
Hakuishia hapo aliwaonya Pia manabii wanaomtabiria Rais Samia Mambo mabaya akiwemo Askofu Mapinduzi, Mbarikiwa mwakipesile na Askofu Kabugimila
Msikilize hapa
View: https://www.instagram.com/nabii_bashando/reel/DKmjwCUsX8Q/
Kwani walishasema wanashiriki? Au uchawa tuHuu uchaguzi chadema hata wakipata jimbo moja sijui
Kazi kweli kweli...Huko kunako mtandao wa Kijamii wa Instagram siku ya Jana Nabii bashando ameibua maswali Mengi wa Watanzania baada ya Kupost kipande cha Video akielezea kwamba amefanya maombi ya Kufuta kabisa Unabii uliotabiriwa na Sheikh yahya. unabii Huo uliohusu Upinzani kushika madaraka baada ya Rais Mwanamke
Msikilize hapa
View attachment 3361318
Hakuishia hapo aliwaonya Pia manabii wanaomtabiria Rais Samia Mambo mabaya akiwemo Askofu Mapinduzi, Mbarikiwa mwakipesile na Askofu Kabugimila
Msikilize hapa
View: https://www.instagram.com/nabii_bashando/reel/DKmjwCUsX8Q/
Wanapataje wakati hawashiriki?Huu uchaguzi chadema hata wakipata jimbo moja sijui
wanaibuka tuKumekuchaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Uchaguzi upi mkuu?Huu uchaguzi chadema hata wakipata jimbo moja sijui