donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naona nabii wa watu amesherekea birthday yake kinamna hii [emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna usemi usemao, "emancipate yourselves from mental slavery, None but ourselves can free our minds."
Kuna watu huwambii kitu yaani na mnaweza kugombana eti unamsema vibaya mtumishi [emoji23][emoji23]
Kuna watu huwambii kitu yaani na mnaweza kugombana eti unamsema vibaya mtumishi [emoji23][emoji23]