Nabii Bilionea shilla....!!!

Nabii Bilionea shilla....!!!

Mimi nilishaacha kuwashangaa manabii wa hivi, bado nawashangaa wafuasi wake,
Siku hizi kila mtu ana "nabii" wake.

Yawezekana hata wewe una wa kwako ila unajiona uko sahihi.

Binafsi nikiona mtu amekuwa mfuasi "msukule" wa mtu yeyote huwa nmwona mpuuzi tu.

Kuna watu huwaambii kitu kuhusu Diamond,

..,...........huwaaambii kitu kuhusu Mbowe,

..........kuhusu Kakobe

........kuhusu Zitto

...........kuhusu Gwajima
..........kuhusu Alikiba
..........Maxence Melo
...........Ontario

...,........Carol Ndisi
.........kuhusu Maria Sarungi
......... Kuhusu Magufuli

In short, watu wanaotumia akili zao kufanya mambo yao ni wachache sana.
 
Asiye na marinda anakuaje mtumishi huyo msanii Hana huduma yeyote
 
MHH!!! NA MIMI NAFUNGUA KANISA, NAONA HII KAZI INALIPA KWELI. NATAFUTA MUHASIBU NA MWEKAHAZINA AU ZOTE NIZIFANYE MIMI? HAPO MNANISHAURIJE WAKUU?
 
Siku hizi kila mtu ana "nabii" wake.

Yawezekana hata wewe una wa kwako ila unajiona uko sahihi.

Binafsi nikiona mtu amekuwa mfuasi "msukule" wa mtu yeyote huwa nmwona mpuuzi tu.

Kuna watu huwaambii kitu kuhusu Diamond,

..,...........huwaaambii kitu kuhusu Mbowe,

..........kuhusu Kakobe

........kuhusu Zitto

...........kuhusu Gwajima
..........kuhusu Alikiba
..........Maxence Melo
...........Ontario

...,........Carol Ndisi
.........kuhusu Maria Sarungi
......... Kuhusu Magufuli

In short, watu wanaotumia akili zao kufanya mambo yao ni wachache sana.
Hivi ONTARIO kijana wa kijaluo sikuhizi yuko wapi?
 
Kuna sistaduu mmoja hapo aliliwa K + pesa na kamtaji kake kakuungaunga China,alipeleka vitenge vikaombewe Nabii akamwambia mama yangu amevipenda ngoja nikamuonyesha ndiyo ikawa imetoka.Kwa kifupi ni tapeli linalotambua sheria huku Baba na Mama yake wakiwa washauri wakuu kwa kutumia koneksheni.
Kabisa, dingi si alikuaga inspekta
 
Mnaelewa maana ya X experience hiyo label kwenye tshirt yake? Ukielewa usiumize kichwa na hiyo mihela yake, it is just a manipulation of minds
 
Back
Top Bottom