donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Yesu Moyoni..Akili kichwani..Pesa MfukoniNaona nabii wa watu amesherekea birthday yake kinamna hii [emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna usemi usemao, "emancipate yourselves from mental slavery, None but ourselves can free our minds."
Kuna watu huwambii kitu yaani na mnaweza kugombana eti unamsema vibaya mtumishi [emoji23][emoji23]View attachment 2000076
Don’t gain the world and lose your soul;Naona nabii wa watu amesherekea birthday yake kinamna hii [emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna usemi usemao, "emancipate yourselves from mental slavery, None but ourselves can free our minds."
Kuna watu huwambii kitu yaani na mnaweza kugombana eti unamsema vibaya mtumishi [emoji23][emoji23]View attachment 2000076
SahihiYesu Moyoni..Akili kichwani..Pesa Mfukoni
#MaendeleoHayanaChama
Ni ukweliDunia ina makundi ya watu hadi katika akili kama ilivyo katika makabila
Sana mkuu, nlishawahi kugombana na manzi wangu flan kisa eti simuamini huyu nabii wakeWAAFRIKA BADO TUKO UTUMWANI BILA KUJITAMBUA
Kabisa kubwa tu na waumini wakutoshaYupo vizur katika kubadirisha mitindo ya nywele hiv na yeye ana kanisa lake hiv
Sure, hii inakua tu cover-up ya their illegal activitiesNasikia hata MAREEDO ana kanisa lake kule Bahari Beach!! Ukiona wajanja wajanja wanaanzisha makanisa , that should be a wake up call for the government to have a closer look at their activities.
Kabisa kubwa tu na waumini wakutosha
Amen [emoji120][emoji120]Don’t gain the world and lose your soul;
wisdom is better than silver or gold.
Ni hayo tu!!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Nakwambia?Nimeona picha nikadhani ni PAUL RABILE POGBA kumbe mtumishi!
Cha ajabu kuna msululu wa wafuasi nyuma yake unaamini ataufikisha mbinguni[emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kabisa mkuu, anakula sadaka tuHee kumbe watu wanamwelewa mm namuona kama msela tuu aisee tupo nyuma sana kuna mdau mmoja hapo juu kasema kuna watu wapo utumwan ni kweli aisee
Imani bhana iache kama ilivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Masanja anaaminika na waumini wake kuliko raisi anavyomuamin bodyguard wakeNaona nabii wa watu amesherekea birthday yake kinamna hii [emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna usemi usemao, "emancipate yourselves from mental slavery, None but ourselves can free our minds."
Kuna watu huwambii kitu yaani na mnaweza kugombana eti unamsema vibaya mtumishi [emoji23][emoji23]View attachment 2000076