Nabii Bilionea shilla....!!!

Mimi ni muumini kindakindaki wa katoliki, lakini baada ya kubahatika kufanya kazi kwa ukaribu na parokia nikaweza kuwajua mapadri ndani nje, imani yangu imeshuka sana juu ya dini, kanisani naenda kujumuika na jamii tu.

Lakini kama mbingu ipo kanisa na viongozi wake kamwe hawatatufikisha.

Kuna padre aliwahi kuniambia hakuna sehemu inayoitwa motoni wala mbinguni na wala hakuna siku inayoitwa ya kiyama!
 
Sana mkuu, nlishawahi kugombana na manzi wangu flan kisa eti simuamini huyu nabii wake
Mim niliachwa kisa mtalemwa wa ecg...hahahha.....maana ilikua manzi anasali huko..kila akirud anasema kaambiwa hik mara kile na huyo mchungaj....et anaambiwa huyo jamaa wala hana future na wew...***** nikamwambia bibie chagua1....akachagua kanisa.. which is not bad.hahahahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanasema Yesu ni nani na Je wewe unasemaje?

Swali kuu la imani yako kwa Yesu!
 
Kwani kupiga bleach ni dhambi? leteni maandiko
 
mapadri karibia wote ni maatheists...na ili uwe padri lazima umkane yesu
 
Huo mzigo anaenda kuuweka kwenye account ya bwana?! Au sio?
 
Hahahah, what happened next?
 
[QUOTE="Pendaeel
Kuna padre aliwahi kuniambia hakuna sehemu inayoitwa motoni wala mbinguni na wala hakuna siku inayoitwa ya kiyama![/QUOTE]
Mlikuwa mmelewa au mlikuwa mnafanya Nini Hadi akakuambia hayo maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…