FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #481
Kwanini walokole wanachukiwa sana? Jibu ni hili
UTOFAUTI WA WALOKOLE NA WAKRISTO WENGINE (WASABATO, WALUTHERANI, MORAVIAN, WAKATOLIKI, ANGLICAN N.K). Walokole, ni kundi la madhehebu kadhaa ya watu wanaoamini kuokoka kwa kukiri Yesu kwa kinywa chako, na kujazwa Roho Mtakatifu kama vile mitume na waamini wengine walivyojazwa siku ile ya...