UTOFAUTI WA WALOKOLE NA WAKRISTO WENGINE (WASABATO, WALUTHERANI, MORAVIAN, WAKATOLIKI, ANGLICAN N.K). Walokole, ni kundi la madhehebu kadhaa ya watu wanaoamini kuokoka kwa kukiri Yesu kwa kinywa chako, na kujazwa Roho Mtakatifu kama vile mitume na waamini wengine walivyojazwa siku ile ya...
Unaweza kusema ni suala la muda tu kabla kanisa la Kiboko ya Wachawi kufunguliwa na kuendelea na huduma kama kawaida. Matumaini haya yanatokana na kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke, ndugu Sixtus Mapunda ambaye amewaambia waumini wasiwe na wasiwasi wowote kuhusu kufungiwa kanisa lao. “Tunafahamu...
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A. Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo...
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani...
Nimeona clip ya aliekua anajiita nabii 'kiboko ya wachawi' akitoa kejeli juu ya watanzania waliokua wanalipia kingilio cha laki tano. Naishauri serikali kabla ya kutoa kibali cha mtu anayejiita nabii anaeponya watu,ifanye hivi: 👇👇 Imwambie nabii husika aende kuwaponya wagonjwa mahututi...
Mke wa "Kiboko ya Wachawi" amwangukia Rais Samia amrudishie mume wake Pia, soma: Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio