Sehemu za ibada sio sehemu za kuhubiriana kwa jazba. Kuna mwanamama anahubiri kama anatufokea au anataka kulia, af hajui kua watu hawamuelewi hata anachoongea zaidi ya emotional tu. Mahuburi yawe ya calm, polite, habari za kufokeana tuziache huko nje.
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali. Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa...
Kamari nyingine ya kupiga marufuku ni hizi makanisa ambayo sio ibada bali miujiza. Prosperity scripture nayo ni kamari, eti panda mbegu, toa sadaka upate utajiri. Wanatuuzia udongo mafuta ya upako na majivu nasi tunanunua. The government must protect its citizens from such predators!
Mimi Bushdokta kwa muda mrefu sasa nimekuwa msomaji wa Biblia na kufatilia mafundisho ya Neno la Mungu na Ibada mabli mbali pamoja n harakati za injili. Ktk kufanya hivyo ilifika mahali nikataka kukata tamaa. Kulikuwa na hofu kwamba huenda huyu Mungu anayehubiriwa ni Mungu Dhaifu asiyeweza vitu...
Najua wako wahubiri watapinga pendekezo langu lakini nipo tayari kuwajibu. Imani ya kikristo imegeuka kuwa genge la wezi. Kila kukicha anaibuka mtume au nabii na aya zake za biblia ( mostly taken out of context or not existing!) kuhamasisha kumtolea Mungu ( of course ni kumtolea huyu mhubiri!)...
Wahubiri wa imani ya kikristo mna matangazo yenu ya mikutano na ahadi ya kuwaita wagonjwa waje kupata uponyaji wa kimiujiza. Hakuna hata rekodi moja mlimponya mtu aliyekatwa mguu au mkono! Huyo Mungu wenu hana uwezo huo? Maana mmebaki kwenye kuponya kisukari, uvimbe na magonjwa yasiyoonekana kwa...
Ni ijumaa hii ya terehe 13.12.2024 Pitia hii kwa umakini sana, 1. Kama wewe kila unachofanya kinakwama au hakifanikiwi tukutane Kawe kwenye mkesha, 2. Kama wewe huna nguvu za kiume au za Kike tukutane Kawe, 3. Kama wewe unafeli masomo au watoto wako hawafanyi vizuri darasani tukutane Kawe...