Nabii Bushiri building a multi billion dollar city

Yaani mkuu mtu ana arrest warrant to skip

Mkuu ili tuweze kujadili hoja hii tuache uumini wetu ila ukweli utawale,nini kimemfanya Bushiri akimbo nchi wakati he feel is innocent?,why he skip the bail?hili mpaka mawakili wake,SA ina a very progress constitution in the world was no need kukimbia nchi,la pili mkuu ongea ukweli je unataka kuniambia presidential aircraft ikiwa na president inside ilitumika kumtorosha suspect?,tuache story za vijiweni na muda mwingine hili jukwaa linaonekana limepoteza ukweli wake,wewe mkuu ungekua Rais ungeruhusu ungerùhusu kumbeba fugitive?
 
Mkuu wewe una chuki na Bushiri ndio maana unaona negative side. Ungefahamu influence yake kwa serikali ya Malawi wala usingehoji ilikuwaje akaondoka na raisi na mamlaka za SA ziliruhusu. Kulikuwa na tishio la mauaji.

Mpaka sasa tuziachie mahakama zitaamua nani mwenye haki lakini mimi ninamuunga mkono kuondoka SA kwasababu inajulikana sana jinsi kulivyo na mauaji ya wageni kule.
 
Huyu mtu sio kabisa....
Akajibu kesi tujue ukweli ni upi hasa
Hata kama ana pesa anaweza kubaka kwani kila mdada yuko after money?
 
Huyu mtu sio kabisa....
Akajibu kesi tujue ukweli ni upi hasa
Hata kama ana pesa anaweza kubaka kwani kila mdada yuko after money?
Issue ni usalama wake akiwa SA. Alishasema hana tatizo na kesi, yupo tayari kwenda akihakikishiwa usalama.
Ishu ya kubaka ni ujingaujinga tu wa watu wenye wivu.
 
Ahsante kwa taarifa na kila la kheri zake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…