Nabii Carmel na Rev Natasha ni watu wa kuigwa na Watumishi wa Bongo

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Shalom wapendwa, watumishi wengi wa bongo huenda kuvaa vitenge na wake zao yaani huwa hawapendezi kabisa, ni vyema wakiwaiga hawa watumishi kwa kuvaa mavazi yanayoendana na wakati, Mr & Mrs Carmel ni watu wa kuigwa.


 
Hamna utumwa mbaya unaotesa vijaka kama hilo neno "kwenda na wakati".Kuna siku akiwa ufukweni anaweza akala bikini tena zile za vikamba kisa anaenda na wakati. Ukiwa mtu wa Mungu hasa kiongozi wa kiroho ishi kama neno la Mungu litakavyo ukiongeza manjonjo lazima mwisho wa siku utaharibu.
 
Jamani dini zimeingiliwa. Hawa nao ni nabii?. Kweli hizi siku za mwisho. Hakika mbingu tutaisikia tu kwenye mahubiri
 
Kwa hiyo unashauri watumishi wa Mungu wasivae hivyo?
 
Kwa hiyo unashauri watumishi wa Mungu wasivae hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…