Nabii Carmel na Rev Natasha ni watu wa kuigwa na Watumishi wa Bongo

Naona umeamua kuwapigia promo tu kuna nini jipya hapo? Watu wanatengeza mpaka tshirt za Mr & Mrs ........
Not promo bali nahamasisha wapendwa wa bongo waache kuvaa vitenge wajaribu na hizi jeans & t-shirt watapendeza mnoo
 
Ukute wewe ndio Natasha mwenyewe. Tangu ule uzi wa Kilewo ufukuliwe sina imani na nyuzi zinazosifiasifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…