Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa Umoja wa Mitume na Manabii Tanzania, Nabii Dkt. Joshua Aram Mwantyala, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi kubwa ya ajabu, kiasi cha kumfananisha na mtu aliyepewa msaada wa Malaika na Mungu katika kutekeleza majukumu yake. Amesema Rais amewekeza fedha nyingi za kutisha kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo.