Brob
Member
- May 12, 2013
- 92
- 19
Huu nadhani siyo upako; huu ni MPAKO (wa mkorogo)
nipe macho nione.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu nadhani siyo upako; huu ni MPAKO (wa mkorogo)
Nasi hatukuwatuma kabla yako (Manabii) ila watu 'wanaume' tuliowapa Wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui.
Qur'an: 16:43.
Hivi kuna Kanisa ambalo waumini wake hawatoi SADAKA?Acheni uzembe wa kufikiri,njaaa tu ndo zinawasumbua hawa wanaojiita manabii.Mnapeleka sadaka kila wiki,yaani watu bana hivi dunia hii kwa sasabado waru wanapoteza muda na mambo haya ya Mitume,mashekhe,mapadri,waxhungaji na manabii, for wat???kafieni mbali ......
Nimepitia suggestions zote na mambo yote yaliyoandikwa na wadau humu kuhusu nabii huyu......ila nimegundua jambo moja kwamba karibia wote waliochangia hawajawai kwenda na kushuhudia live yale anayotabiri,kutenda na wakati mwingine kuponya according to wagonjwa wenyewe wanaoshuhudia! sasa mambo yapo ivi,miaka kama miwili nyuma mimi nikiwa mahala fulani niliwasikia akina dada wawili wakimsimulia dada huyu kwa kusema hawaji kumwamini mchungaji yoyote zaidi yake kwani matendo aliyowatabilia ndo yaliyowatokea ivyo kwao yeye ni kila kitu....basa kuwa tulikuwa tumekaa pamoja nikawa so interested to know what next!wakasama siku walipoenda waliomba wapate waume wa kuwaoa!mmoja akasema ambarikie muwe wa kizungu nawingine mwenye uwezo angalau atokane na uuzaji wa bar ambao kwake yeye alikuwa haupendi eti ikawatokea vile na ni kweli mpaka wakati huo wanaoongea yaliwatokea hayo! siku zikapita nikiwa kailuki hospital kwenye bench ya kusubilia doc akawa anasimulia mama mmoja kwamba ktk maisha yake hawezi kuacha kumshukuru nabii yule (FROLA)alimponya miguu iliyomtesa kwa miaka mingi sana na kumbewakati anaongea ivyo kulikuwa na dada ambaye alikuwa na tatizo la kutopata hedhi yapata miaka nane na akawa hazai akashawishika na kwenda na kwa kuwa nilikuwa interested ilibidi nichukue no yake na kumhimiza amtafute baada ya wiki mbili alianza kuona siku zake hii ni kweli ndugu zangu!...nami nikaanza kwenda...miujiza niliyowai kuishuhudia watu wakisema ni mingi sana mfano ya kuwafanikishia watu ajira,kuponya uvimbe matasa kuzaa kurudisha mume anayetaka kupokonyoka na kugeuza maji ya kawaida uhai kuwa na sukari kwenye joto kuwa baridi mwanamke aliyetolewa kizazi kupata mimba wa nje ya nchi huyo!...nyingine kaka mmoja aliyeibiwa nyeti zake kurudi..mwingine aliibiw kodi ya nyumba na matapeli alipoenda wezi walijileta iyo nilioona dada akishuhudia na ana uwezo wa kukwambia baya linaloweza kukufika siku za mbele!....my take....mimi kama mimi namwamini ila jambo ambalo nashindwa hata ujumbe umfikieje ni suala la kujichubua!!!! HAPO KIDOGO pananikwaza! na wasiojua UNABII hajaanza kwa jili ya njaaa alianza akiwa mdogo sana na tena alikuwa naufanyia mikoani ndo akatokea mkaka mmoja kumleta DAR kwa imani kupata pesa mgongoni kwake ila akashtuka ndo mana unaona sasa ana kanisa lake tena amehamia alilojengewa na waumini salasala mbezi njia panda mbuyuni..ivyo mnaocomment ni angalau mngeenda huenda mkapata zaidi yangu...japo nakumbuka kuna siku aliyavunja maji ya chupa ya uhai na kuwaambia watu wayaonje akisema yamekuwa na asali! yaani matamu mama mmoja akanyoosha mkono akasema mboa yeye akayoonja ni ya chumvi?yeye akajibu Mungu ni wa ajabu unapomuomba kitu anaweza akakupa zaidi!! Muhimu ashauriwe asijichubue naona ilo ndilo lililowakwaza watu wengi!hayo ya sadaka ni watu wenyewe wanatoa tena wengine humpelekea kila siku kuku wa kienyeji wa kula mana yeye mwenyewe anasema huwa anapenda sana kuku wa kienyeji kama mboga yake kuu!NAWASILISHA!
kwa kawaida, sijawahi kwenda pale kwa flora. nimekuwa mbali na dsm kwa kitambo. lakini hapa duniani kuna manabii wengi tu, wengine kweli wanaweza kuwa manabii wa Mungu, hatukatai wapo. ila wengine pia wanaweza kuwa hawajatumwa na Mungu hao pia wanaweza kuwepo.
however, naomba kila atakayesoma hapa anisikilize vizuri. SIO KILA NABII, HATA KAMA AMETUMWA NA MUNGU ANAWEZA KUKUBALIWA NA WATU WOTE. ukiangalia sifa za manabii karibia wote, huwa wanachukiwa na kusemwa mengi. nabii ambaye hasemwi na hana maadui, huyo unaweza hata kumtilia shaka, iweje asiwe na maadui wakati shetani yupo?
anayejua kuwa mtu fulani ni nabii, ni Mungu, na anayejua kuwa yeye ni nabii ni yeye yule aliyetumwa. mfano, leo hii mimi nikiitwa na Mungu kuwa mtumishi wake, ni mimi ndiye nitakayejua na nitakuwa na a hundred percent ya uhakika kuwa mimi ni mtumishi wa Mungu, hivyo hata watu waseme vipi, sitawasilikiza na sitawaogopa kwasababu nina uhakika.
hivyo kwa manabii na mitume, wao ndio wanaojua kama wametumwa na Mungu au la, hatukuwepo siku wanaitwa na Mungu kuwa watumishi wake, hatujui waliitwa kwa njia ya maono ya mchana au ya usiku au walikutana vipi na Mungu hata wakaanza kufanya huduma hizo.
cha muhimu kwako wewe mwanadamu ni kunyamaza kimyaaa tu kwasababu haukuwepo siku ile wao wanaitwa. hivyo hauna uhakiki wa unachosema zaidi ya kuguess tu. hata kama tunatakiwa kuwatambua kwa matunda yao, desturi zilizotujaa wanadamu wakati mwingine utakuwa watu wanawepa Bible pembeni wana value mtu kwa kupitia desturi na mapokeo. cha muhimu ni kumwomba Mungu akufunulie wewe binafsi kabla hauja comment, usijekuwa unacomment negative ukawa kumbe unamsema mtumishi wa Mungu. ili uwe na uhakika, nenda mbele za Mungu mwulize akufunulie, utapata jibu. ukiona unapapenda mahali nenda kasali, ukiona haupapendi, usiende, neda kule unakokupenda, ila wale ambao wanasali mahali usipopapenda waache waendelee bila kuwasema, kwasababu haina maana ya kuwasema wanaosali mahali ambapo wewe hausali wakati pengine wao hawapasemi mahali ambapo wewe unasali.
Mungu atusaidie tuwe na busara kuchagua wapi tusali, na tusali mahali pale tu ambapo Mungu yupo, na watumishi kweli ni wa Mungu. jambo hili ni la muhimu sana. ukisikia sehemu kuna dhahabu ukawa mbishi wenzio wanaenda kuchimba wewe hauendi, siku itakapoisha ile dhahabu utaenda na utakuta haipo tena, cha muhimu ni kwenda ukaone kama dhahabu ipo kweli, na uchukue mercury utest kama ni dhahabu au feki, ndipo utakuwa na ujasiri wa kuwadhihaki na kusema kule hakuna dhahabu bali ni feki, na ukiona ni dhahabu safi, utakuwa umeipata kabla haijaisha.....Mungu ibariki tz. bofya hapa www.sheriakwakiswahili.blogspot.com
kajikoboa kawa kama wale wanaojipanga mitaa ya sinza,afrikasana na ohio
![]()
amoja na kwamba sikubaliani na comment hapo juu, lakini huyu dada 'nabii" huwa anafikiria ufalme gani anapojichubua na kujitazama usoni?
uzuri niliskia waumini wake ni wale wa hali ya juu tu. hahitaji speaker, si ahubiri kwa mdomo tu? speaker haziongezi sadaka wala nini, why bother!