Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Naona kupata taarifa zake imekua utata kidogo sijasikia mtu akitoa maelezo kanisa lipo mbezi sehemu gani hasa na japo kahistoria kafupi cha huyu naniliu.

Huwezi jua labda nimeshaanza kuvutiwa kwenda kanisa lake.
 
Nasi hatukuwatuma kabla yako (Manabii) ila watu 'wanaume' tuliowapa Wahyi (ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui.
Qur'an: 16:43.

Sio Qur'an tu, hata Biblia inakataza wanawake kusimama na kuongea mbele ya wanaume, wameelekezwa kusubiri kupewa maelekezo na waume zao majumbani kwao.
 
huyo binadamu au shetwaaaaaaani.
hakika hawa ndio wanauzalilisha ukristo.
 
Kwanza yeye mwenyewe ameisha mkosoa muumbaji wake kwa kujichubua,vp ataweza kuwaongoza kondoo wengine?
 
Hivi kuna Kanisa ambalo waumini wake hawatoi SADAKA?
 

Mkuu sasa huyo ni Nabii au Sangoma tena? Yaan hadi kurudisha nyeti zilizopotea,,mara kumrudisha mume aliyekimbia n.k
Kwanini usimuombee wewe Mungu wako hadi uende kwa binadam mwenzako.

Hahahah yaani its so funny kwa kweli na dini za Ujanjaujanja.
 
du si angepaka basi cream mwili mzima ili awe rangi moja labda credibility yake ingekua nzuri kidogo!!! huyu ni changu tu kama machangu wengine!!
 

Ndugu nakuunga mkono asilimia mia nabii anapewa kazi na Mungu na haitatokea kuwa nabii anapopewa kazi na Mungu mtapewa taarifa.Hata Yesu alikataliwa kama mnakumbuka mpaka ikafikia hatua ya kumuua walipomuua ndiyo wakatambua kuwa alikuwa nabii kwa hiyo wanadamu kumbukeni Mungu anaweza mtumia mtu yeyote ambae binadamu watasema ana kasoro moja,mbili, tatu,nne na huwezi juwa Mungu anaweza mtumia mtu huyo ili wenye imani tu ndiyo waamini nimesoma comment zote hapa naona ni vijembe tu sasa Mungu hana formula katika mambo yake anaweza mtumia mtu yeyote kuwa nabii.Ukiangalia hata mitume wengine walipatijkana kwenye maeneo ambayo ni ya dhambi.Kwa hiyo binadamu tunatakiwa kuomba macho ya rohoni na si kushutumu.Mimi siwezi kusema si nabii kwani Mungu ndiye ajuae na anahubiri mambo mema si mabaya kwa nini watu wamshutumu.Kwani wewe unadhani kwa nini mchungaji wako umuuite ni mwema?Kifupi nabii hasomei na wala han alama mtu yeyote anaweza kutu,iwa kuwa nabii.
 
kajikoboa kawa kama wale wanaojipanga mitaa ya sinza,afrikasana na ohio
 
kajikoboa kawa kama wale wanaojipanga mitaa ya sinza,afrikasana na ohio


amoja na kwamba sikubaliani na comment hapo juu, lakini huyu dada 'nabii" huwa anafikiria ufalme gani anapojichubua na kujitazama usoni?
 
sio lazima ukubaliane na mimi ila mtazamo wangu juu yake ndio huo tena hii picha ndo kama jini sasa..
tena kama jini mahaba...matapeli wa mjini wanaotumia neno la Mungu..wanatumia nguvu za giza kufanya miujiza



amoja na kwamba sikubaliani na comment hapo juu, lakini huyu dada 'nabii" huwa anafikiria ufalme gani anapojichubua na kujitazama usoni?
 
uzuri niliskia waumini wake ni wale wa hali ya juu tu. hahitaji speaker, si ahubiri kwa mdomo tu? speaker haziongezi sadaka wala nini, why bother!

Kuna wimbo mmoja wa Sugu kashirikiana na Lady JD unaitwa 'Mambo ya Fedha'. Kwenye msitari mmojawapo anaimba 'Siasa mwanasiasa, muziki mwanamuziki, wote tupo kwenye mic tunatafuta riziki'. Nafanisha verse hiyo na hii kazi ya nabii mkorogo. Hiyo mic ni ya kusaka mshiko, sio kuponya watu.
 
kwa kweli kumezuka utititiri wa makanisa
na yamefanya wengi kuangamia pasipo wao
kujua hata kwenye methali inasema kuwa watu
wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ni kweli
kabisa hizi ni nyakati za mwisho wengi watajitenga
na kurubuniwa na imani potofu na watajiingiza huko
pasipo kujua nao watapotea

jamani ndugu rafiki zangu tuwe wajanja
kama nyoka na tuwe wapole kama nyoka

hichi kitu nimekipenda sana na ndo mana nimekipaste

Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.

Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.

Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.
 
kwa kweli kumezuka utititiri wa makanisa
na yamefanya wengi kuangamia pasipo wao
kujua hata kwenye methali inasema kuwa watu
wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa ni kweli
kabisa hizi ni nyakati za mwisho wengi watajitenga
na kurubuniwa na imani potofu na watajiingiza huko
pasipo kujua nao watapotea

jamani ndugu rafiki zangu tuwe wajanja
kama nyoka na tuwe wapole kama nyoka

cc: Mtambuzi, charminglady, Bujibuji, Mentor, na Excellent
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…