Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
wakati yupo misri sasa yupo nchi ya ahadi amesafishwa na damu ya Yesu
Safi sana mkuu;
Kuhakikisha anabaki RC
Karibuni Emaus Ubungo...............Kalismatiki katoliki.
Kweli kabisa kati ya watu wanaosubua ni masikini wa akili na Elimu.Tena huo ni mbaya sana kuliko wa pesa.
Hivi unaelewa vizuri chimbuko la Imani?Ni kinyume (it is the opposite).
Biblia bila Quran ni sawa na nyumba bila msingi.
Qur'an: 16:43. soma post no. 42.:becky:
mh dada hujaisoma vizuri biblia...kaisome tena utaona sehemu nyingi tu, agano la kale na agano jipya yakielezea juu ya nabii mwanamke...Sio Qur'an hata kwenye Biblia Yesu hakuwahi kuwa na mtume mwanamke na hata kabla ya Yesu Ukisoma Agano la kale wale wote waliotumiwa na Mungu waliuwa wanawake.me ni mwanake lakini siungu kabisa hii kitu
Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi
Kweli tumekwisha. Mkorogo wa nguvu, uwongo, na kutembea na waume za watu kisha anaitwa nabii? Basi mimi ni Yesu ama Mohammad.
Ametembea na mume wa nani?
Manake hukawii kujikuta muongo ni wewe sasa.
Sio Qur'an hata kwenye Biblia Yesu hakuwahi kuwa na mtume mwanamke na hata kabla ya Yesu Ukisoma Agano la kale wale wote waliotumiwa na Mungu waliuwa wanawake.me ni mwanake lakini siungu kabisa hii kitu