Nabii gani wewe?

Think2

Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
29
Reaction score
47
Jana nikiwa zangu om nikaamua nicheki tv kidogo japo kuwa hua siangalii sana nikaingia zangu channel ten aisee hii dunia inakoelekea sio kuna jamaa anajiita nabii anajipaka uchafu na matope kichwani na usoni anahubiri watu .
Serikali mpo wapi mtu kama huyu nimdanganifu anachoma biblia takatifu .
Nendeni youtube channel hii players online mjionee
 
Hadi mtu apigwe na kitu kizito ndo serikali itajitokeza 😜
 
kwani si serikali hii hii inachukua kodi kwa hao wafanya mazingaombwe? ndiomaana Kagame hataki kabisa usengerema watu wafanye kazi waache upuuzi nyambaf nani kasema miaka hii kuna manabii, wasanii tu wauza maji na mafuta hata udongo wanauza maaneeeneeeer
 
Na ana waumini wengi na wanamshangilia! Ila sisi watz tuna shida vichwani mwetu
 
Mm nawaunga mkono hao manabii, wameona fursa na wanaitumia vzr, tatizo n hao waumini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…