JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Nimeishakusaidia Mamndenyi hapo juuHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Huyu MWEHU siyo Mkristu, ni MPAGANI fulani au MPINGA KRISTU anayechezea Biblia.
Kwani Yesu anajua kuendesha gari? Au yeye ndo atakua dereva wake.
Acheni kuita wa kuristo wenzenu kafir au pagan, kila mtu ana uhuru wa kuamini na kuabudu.Huyu MWEHU siyo Mkristu, ni MPAGANI fulani au MPINGA KRISTU anayechezea Biblia.
Kazi yake kubwa kutoa makafara. Mwaka huu mwanzoni kazika mjukuu na mwanaye. Shetani mkubwa huyu, MSIMSIKILIZE
Kweli. Huyo Yesu atakayepanda gari la mwanadamu atakuwa si yule aliyeumba mbingu na nchi. Huyo akishuka nchi itakumbwa na tetemeko kuu. Kitakachofuata baada ya hapo ni kilio cha kusaga menoYaani Yesu Kristo akija mara ya pili kama Bwana wa mabwana Mfalme wa wafalme atamuomba kiumbe aliyemuumba ampe msaada wa usafiri? Sitasema kuwa ni kufuru! Ila nitasema huyu jamaa hajui analolisema na anahitaji maombi! Huyu ni masikini kuliko masikini wote niliowahi kuwasikia!
Nimesema Geordavie siyo MKRISTU, Period.Acheni kuita wa kuristo wenzenu kafir au pagan, kila mtu ana uhuru wa kuamini na kuabudu.
SawaHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Mapepo Yameanza kumvuruga