Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakika, hizo ndio kauli na mitizamo ya Bashite pia.Huyu ndio.rafiki wa makonda akiri zao zinafanana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika, hizo ndio kauli na mitizamo ya Bashite pia.Huyu ndio.rafiki wa makonda akiri zao zinafanana.
Hawa manabii ni vipofu kweli. Yesu hata kuligusa gari lake hawezi maana ni chafu, Limetengenezwa na mikono michafu. Hawa hawamjui YesuHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Kwa kumsaidia tu Yesu alivaa kanzu sizani kama akija atavaa suti kama yeye,pili alifuga ndevu sizani kama akija atakuwa amenyoa stairi kama yeye, alisari kwa kusujudu yaani paji lake kugusa chini,sizani kama akija atakuwa anapiga makelele na kujisifia kama yeye, Sasa sijui Yesu ataenda kusali wapi?Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Hili jitu punguani sana, Yesu aje na ndege toka wapi?Nabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Pumbavu huyuNabii Geordavie amesema kwamba endapo Yesu angerudi leo, angehitaji kutumia gari lake na kumtaka amfuate uwanja wa ndege kwa ajili ya msafara wa hadhi yake. Nabii huyo alieleza kuwa Yesu angekuwa na mtazamo tofauti, akiamua kukaa naye na kuchagua gari miongoni mwa alizonazo ili kuendana na hadhi yake.
"Nadhani atakuwa na mtazamo tofauti, jambo la kwanza ataamua kukaa na mimi na atataka kutumia gari langu, atachagua katika hizi (gari) na ataomba nimfuate airport (uwanja wa ndege) kwasababu ndio hadhi yake na kutakuwa na msafara kabisa."
Nisha fanya hivyo 😂Hivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Paganizi kabisa 😂Huyu MWEHU siyo Mkristu, ni MPAGANI fulani au MPINGA KRISTU anayechezea Biblia.
Kazi yake kubwa kutoa makafara. Mwaka huu mwanzoni kazika mjukuu na mwanaye. Shetani mkubwa huyu, MSIMSIKILIZE
Hivi nikikutukana utasema nimekuonea? Hivi huo ujasiri wa kusema wewe umeumbwa na huyo mzungu mnayemuita yesu umeutoa wapi? Hivi nyinyi watu weusi akili zenu zitarudi lini na kuanza kujitambua? Yaani mpaka Leo Bado mpo kwenye minyororo ya utumwa? Aibu naona Mimi.Yaani Yesu Kristo akija mara ya pili kama Bwana wa mabwana Mfalme wa wafalme atamuomba kiumbe aliyemuumba ampe msaada wa usafiri? Sitasema kuwa ni kufuru! Ila nitasema huyu jamaa hajui analolisema na anahitaji maombi! Huyu ni masikini kuliko masikini wote niliowahi kuwasikia!
Ni mkristo, period!Nimesema Geordavie siyo MKRISTU, Period.
Watapima uzito wa ulichotukanaHivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Yesu hakumuumba Adam, Mungu alimleta Yesu baada ya kumuumba Adam, hivyo Yesu si Mungu ni mtoto wa Mungu.Yaani Yesu Kristo akija mara ya pili kama Bwana wa mabwana Mfalme wa wafalme atamuomba kiumbe aliyemuumba ampe msaada wa usafiri? Sitasema kuwa ni kufuru! Ila nitasema huyu jamaa hajui analolisema na anahitaji maombi! Huyu ni masikini kuliko masikini wote niliowahi kuwasikia!
Ntajuaje kama geodavie kasema ataenda kumpokea airport bila shaka ndege zinaendaKwani Atcl ina route za binguni? Au siku hiyo itaenda mahususi kufuata huyu Yesu?