MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kaka hili Jambo limekuudhi mpaka umeamka usiku wa manane kumchambua nabii huyu ,pole sanaHaya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki?
View: https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
Baba wa kiroho ni Mungu hakuna baba wa kiroho ambaye ni binadamu ,kilichozaliwa na ROHO ni ROHO ,mwanadamu hazai ROHO anazaa mwili ,anayebadilisha ROHO Yako ndiye baba wa kiroho ambaye ni Mungu tu na sio mwanadamu.Mwanadamu aliyekusaidia kuifuata Imani yake ni baba wa Imani sio baba wa kiroho ,mfano Paulo alimuita Timothy mwanangu niliyekuzaa kwenye Imani.Tatizo watu hawataki kuokoka kweli na kuabudu kwenye makanisa ya maana,mtu kama huyu unakuta kwenye wokovu hajawahi kuwa na baba wa kiroho ,hajawahi jamaa kwenye hiyo Imani hata miaka 15,anaibuka na watu wanamfuata bila reasoning
IPM anagongwa huyo.Haya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki?
View: https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
Unafaidi aisee!IPM anagongwa huyo.
Baba wa kiroho anasaidia nini, muamini Mungu achana na wajanja hao.Tatizo watu hawataki kuokoka kweli na kuabudu kwenye makanisa ya maana,mtu kama huyu unakuta kwenye wokovu hajawahi kuwa na baba wa kiroho ,hajawahi jamaa kwenye hiyo Imani hata miaka 15,anaibuka na watu wanamfuata bila reasoning
IPM yupo sahihiHaya matapeli yanayotumia biblia yangefutiliwa mbali. Huyu Nabii feki IPM hana tofauti na kina Tony au Mwamposa. Wako kinyume kabisa na maandiko matakatifu. Mlokole Setfree una maoni gani kwa alichokisema huyu nabii feki?
View: https://www.instagram.com/share/reel/BBzQs6UvS2
Afande rudia tenaIPM yupo sahihi
🤣🤣Wee,tangu lini ?IPM anagongwa huyo.
Ah wapi!! Jamaa yupo fiti gym ,ana lift kg 130 squats na chest, na mkono umelala pia..IPM anagongwa huyo.
Hayupo sahihi - ukiwa na IQ ndogo utaamini hivyo.IPM yupo sahihi
Sifa kuu ya bodybuilder ni kumix by yasAh wapi!! Jamaa yupo fiti gym ,ana lift kg 130 squats na chest, na mkono umelala pia..
SawaHayupo sahihi - ukiwa na IQ ndogo utaamini hivyo.
Maisha ni zaidi ya Nyumba na Magari .