min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kaka una undugu na sir Jeff?Hayupo sahihi - ukiwa na IQ ndogo utaamini hivyo.
Maisha ni zaidi ya Nyumba na Magari .
Kaka una undugu na sir Jeff?Hayupo sahihi - ukiwa na IQ ndogo utaamini hivyo.
Maisha ni zaidi ya Nyumba na Magari .
Ndio maneno yenu hayo mash oga... ***** ata lift squats wakat mku//ndu upo wazi? Siatakunya......Sifa kuu ya bodybuilder ni kumix by yas
Kwahiyo wahindi ambao hawana Nyumba hukaa ktk apartment hao ujumbe wa IPM hauwahusu.Kama uwezo wa kujenga unao/ulikuwa nao halafu hukujenga ujumbe wako huo jitafakari. Kama umepambana/unapambana na ramani bado hazisomi endelea kufight ili huu ujumbe usikuumize hapo baadae.
Ukiachilia mbali hio ya kutojenga kuna mengibe mazuri kaongea.
😁😁🤔Ndio maneno yenu hayo mash oga... ***** ata lift squats wakat mku//ndu upo wazi? Siatakunya......
Kwanini mnajidanganya wale wahindi hawana nyumba? Halafu siju hizi wanaachana na nyumba za NHC wanajenga zao wanauziana..
Kwahiyo wahindi ambao hawana Nya hukaa ktk apartment hao ujumbe wa IPM hauwahusu.
Kwahiyo alichoongea Baba yako wa kiroho IPM ni sahihi?Kwanini mnajidanganya wale wahindi hawana nyumba? Halafu siju hizi wanaachana na nyumba za NHC wanajenga zao wanauziana.
Wahindi kibao wako Masaki na Oysterbay siku hizi. Kukaa kwenye apartment au nyumba ya kupanga haina maana hujajenga.
Wewe Mungu wa kweli unamjua?Huyo hamtumikii Mungu wa kweli
Ah wapi!! Jamaa yupo fiti gym ,ana lift kg 130 squats na chest, na mkono umelala pia..
Don't have time for this.Kwahiyo alichoongea Baba yako wa kiroho IPM ni sahihi?