Kwa ile Press ya Lema hata hotuba za Mbowe huko BAWACHA na kule kwenye Mkutano mkuu hazinaga maana tena
Nabii Lema amewafungua macho Wengi Kwamba Chadema ina wanachama Wengi Wasiojulikana
Lema nenda Fanya Kazi ile ya Bwana Usiuhesabu muda kama wale Wakulima wa Kwanza waliomuuliza Bwana " Hawa wamefanya Kazi saa ngapi mbona watulipa Sawa"
Mungu wa mbinguni Mvuvie Baraka zako Nabii Lema
Amen πΉπ